Shostito,kua na msimamo ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,wewe ukiwa kama mwanamke umefanya jitihada gani au utundu gani mpaka ukahakikisha umeridhika? ebu rudi tena kwa bibi mulize nini ufanye uridhike na kabla hujaanza kumueleza huyo bwana kama ana pipi ya kifua akikisha unayo majibu ya maswali atakayo kuuliza,ukianzia kumbwa na utamu wake umeionjea wapi na kama yeye ndio alokufundisha maji usiite mma?