Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Kwahiyo mnataka kutuaminisha kwamba kila mnyarwanda aliyeko tz ni spy?
Watoa hoja hawajamaanisha hivyo.Bali, kupuuza tahadhari ambayo watangulizi wa Mkulu walikuwa nayo dhidi ya Mr Slim&Co kunakofanywa sasa hivi,kunaashiria kwamba kuna hatari mbele yetu.
Hii ina maana, kwa kadri ilivyo hakuna linalotokea kwa bahati mbaya bali it's a calculated plan.Sasa je, na kwetu pia au wenzetu ndo wamefanya calculations hizo?
Binafsi nakubaliana na wale wanaomuangalia Mr Slim&Co kwa jicho la tahadhari, the man has a mission towards us.
 
Na kinachoniacha hoi, ikiwa hizi tetesi zina ukweli kwanini jeshi na TISS wapo kimya?

Kwamba hawajui anayedai miaka saba katumwa?

Hawajui kwamba huko Mwanza wapo wengi na mpaka wanaongea kisukuma?
Mtoto wa Simba ni Simba...!
 
Kwahyo wale wakenya wako kule moshi au wale Wazambia na wamalawi kule mbeya nao ni ma Spy
Rwanda sio Kenya, Rwanda sio Zambia

Je Kenya (kama nchi, sio kwa mtu mmoja mmoja) wana shida ya Ardhi kama Rwanda? Vipi kuhusu Zambia?

Vipi kuhusu rasilimali za asili za Kenya na Zambia, ukilinganisha na za pioneer wa Bahima Empire, nani wana shida/kiu ya rasilimali za wenzao kutokana na kuwa geographically disadvantaged?

Je Kenya au Zambia wana expansion policy kama ndugu zetu wa Kaskazini Magharibi? Tumeona wanachokifanya Congo? Je, si tisishtuke mapema?

Ukipata majibu ya maswali hayo uniite, ili uniambie kwanini Watanzania wasimuhofie Mr model
 
Let assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!
Utaielewa hii kitu, siku Utakapojua nguvu ya information.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom