Six pack: Ugonjwa wa wadada

Six pack: Ugonjwa wa wadada

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
Ivi kwanini siku hizi wanawake hasa masista Duu wanapenda sana wanaume wenye six pack? Nini wamegundua kwenye izo Six pack.

wadada 6 packs.png
 
masai dada, huu ndio ugonjwa wako? Mimi najua ugonjwa wa wadada ni escrow tu, ukiwa nazo hata Tibaijuka unampata.
 
Inahitaji exposure ya kutosha mwanamke kupenda sixpack....awa waswahili sio rahis kuelewa....wanaume mnaoponda sixpack mnataman ila sema hamuwez zipata wavivu....sixpack+escrow=mrembo yeyote pata
 
Inahitaji exposure ya kutosha mwanamke kupenda sixpack....awa waswahili sio rahis kuelewa....wanaume mnaoponda sixpack mnataman ila sema hamuwez zipata wavivu....sixpack+escrow=mrembo yeyote pata

Exposure ya kutosha kwenye uwanja wa uasherati si ndio?
 
Back
Top Bottom