masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
- #21
haki ya nani wachache wameelewa picha hii
yale utayajua umuhim na uzuri wake pale unapoanza kumilikiwa hasa mkiwa mnajingia 6*6
Exposure ya kutosha kwenye uwanja wa uasherati si ndio?
Ndio maana hapo chini hapaeleweki eleweki...Six Pack wengi ni Mashoga, you can just Google and see
Ndicho unachowaza....ila madada wanaopendaga sixpack mostly ni wale wenye exposure kias flan....
Yote mbwebwe tu, mambo yote hapadamnnnn
Kumbe wewe ni mchuchu jameni, nitakutafuta wallah....My hasbend mbona hana na nafurahia vizuri tu😛😛😛😛😛
Yote mbwebwe tu, mambo yote hapa
Majaliwa ya Mwenyezi Mungu tu dada yangu....Hahahaa hawa nao walikuwa wamevuta bangi au..??
Dont beat around the bush...kwa hiyo wanapenda tu bila kujua kazi yake?? Wanapenda kuziangalia tu?? Mgirik amesema umuhimu wake uko kwenye uwanja wa 6*6. Bila kuwa na exposure ya huko huwezi kuelewa si ndo maana yake?
Kumbe wewe ni mchuchu jameni, nitakutafuta wallah....
Majaliwa ya Mwenyezi Mungu tu dada yangu....
yale utayajua umuhim na uzuri wake pale unapoanza kumilikiwa hasa mkiwa mnajingia 6*6