Six marriage killers by Dr. Debyii Sababu-Thomas

Six marriage killers by Dr. Debyii Sababu-Thomas

mhm....aya wacha mie nibaki na ujinga wangu lakini bottom line is " when poverty enters through the door love escapes thru the window" ebu wee jiulize kwa nini wazazi hawakuulizi kama unampenda huyo mwanaume njemba akienda kujitambulisha? wanauliza anafanya kazi gani na ana nini becoz they know that financial issues are the leading cause of marital problems.

reseacrh ilishafanywa....80% of women who confessed to cheating said money was a motivating factor. its sad but ndio uhalisia wa mambo mrembo.
When things go haywire,expect unexpected!!
 
It’s about being with someone for love but let the person be himself or herself, let them make decisions and give each other a space when it’s necessary.
In my perception control is more like your word is final. There's no room for compromise. I stand to be corrected though...
 
trust me when u really love someone money is nothing
That's temporary darling. In general women like to be cared and a little pampering. How can you do that if you have a broke asshole?!!
 
Sitakikuamini kama kuwa na big ambitions kunaw
Mi ndoa yangu ilikufa kutokana na kuwa na ambitions kubwa kwenye career yangu, sababu hii inaingia kipengele kipi hapo?
kunaweza kuvunja ndoa. Labda niseme ngazi uliyotaka kuitumia kufika huko juu haikumpendeza mumeo na hilo ndilo lililo vunja hiyo ndoa.
 
Feed us more mkuu

My hubby went for a ride with his frend bila kuniambia wameenda, (ni baada ya lunch yuko mkoa kikaz) sasa wamepost picha waliko nkastuka na kuask kuwa y hajanipa taarifa kuwa kaenda na rafkiake huko? akachukia na kusema hana uhuru
 
My hubby went for a ride with his frend bila kuniambia wameenda, (ni baada ya lunch yuko mkoa kikaz) sasa wamepost picha waliko nkastuka na kuask kuwa y hajanipa taarifa kuwa kaenda na rafkiake huko? akachukia na kusema hana uhuru
Lakini amekuelewa mwisho. Ka wivu kidogo muhimu
 
Back
Top Bottom