Six marriage killers by Dr. Debyii Sababu-Thomas

Six marriage killers by Dr. Debyii Sababu-Thomas

Tatizo lako hujui mapenzi (love) unachojua ni ngono tu(sex) trust me when u really love someone money is nothing
wacheni jazzband hapa....hela zipo muda wote wapi. nyiewanawake all want the security that money provides
once that disappears na nyie mnapotelea kwa majamaa wenye mihela.
 
Mwanamke hasiyetaka kuwa controlled na mume wake ni bora hasiolewe kabisa ili akaungane na wale wanawake wanaotaka kuwa control waume zao.

Lakini sasa Mwanaume siyo unamcontrol mke wako kiubabe kama vile Jiwe anavyotufanyia wadanganyika, inatakiwa iwe control ya Kidemokrasia ambayo wanawake wanyewe wengi wao wanaipenda japo wakiwa nje wanajifanya hawaipendi.
 
Tatizo lako hujui mapenzi (love) unachojua ni ngono tu(sex) trust me when u really love someone money is nothing
Hahahahaaa hiyo huwa haipo, Money is everything and everything is money, we hujala hata msosi mzuri, hujabadilisha nguo mpya, hujaenda saluni miezi inakata tu eti i love my husband weee hata mi mwenyewe nakataa najua unachepuka kimyakimya
 
Tatizo lako hujui mapenzi (love) unachojua ni ngono tu(sex) trust me when u really love someone money is nothing

mhm....aya wacha mie nibaki na ujinga wangu lakini bottom line is " when poverty enters through the door love escapes thru the window" ebu wee jiulize kwa nini wazazi hawakuulizi kama unampenda huyo mwanaume njemba akienda kujitambulisha? wanauliza anafanya kazi gani na ana nini becoz they know that financial issues are the leading cause of marital problems.

reseacrh ilishafanywa....80% of women who confessed to cheating said money was a motivating factor. its sad but ndio uhalisia wa mambo mrembo.
 
umenena bro. hawa wacha waendeleaa najazzband zao hapa. ilahivyo vitatu mwanawane ndio kilakitu. wee una miakili balaaa
Wanazunguka tu wakati wanajua kikikosekana hata kimoja hapo nyumbani mbona panakuwa kaunta ya polisi
 
Mi ndoa yangu ilikufa kutokana na kuwa na ambitions kubwa kwenye career yangu, sababu hii inaingia kipengele kipi hapo?
 
Watendeeni wengine kama ambavyo mkependa wao wawatendee ninyi.
 
Back
Top Bottom