Huu Ukweli umeuvua nguo




Hahah!! Vyote vyote tuNikajua kuchangia ni kizungu kumbe kiswahili kinaruhusiwa pia??
Hahah!! Vyote vyote tu
Mhm mbona somjo nyingi marriage killer namba moja ni lack of money. Kosa helaa ndani ya nyumba uone ndoa itakavyolega lega
Hela zipo mda wote,siku hizi tunasaidiana baba unauza genge mama anapima mkaa