Siwezi kupeleka mwanangu asome Hapa!!!!

Majina yana athari sana katika maisha ya watu. Hilo kweli ni jina tu. Lakini kwa jinsi lilivo linaweza kuathiri mienendo na tabia za wanafunzi. Hili halina shaka! Majina hata yetu ya nyumbani yenye maana fulani yameathri tabia za wenye majina hayo. Majina kama Tyson, bondia, shetani, nk. Wenye majina hayo wengi wamekuwa na tabia zenye mwelekeo wa majina hayo. Nakubaliana na wewe: kutokupeleka mtoto kwenye shule hiyo ya Usnge. Duh! Kazi kwelikweli. Ni wapi huko mkuu?
 
Kweli ni jina tu!!! Lakini majina yana maana,lakini inategemeana na kabila au lugha husika. Kwa mfano ukisema kinu kwa kiswahili ni neno la kawaida tu, lakini kwa wamachame au wameru ni soo, au kwa wasukukuma neno mbula lina maana ya mvua, lakini kwa wachagga walio wengi ni soo vilevile. Ukienda Mbulu na Karatu ukitamka neno kura, ni ishu. Sijui wagombea wangeombaje hizo kura kwa wairaqi kuwaambia kwa mfano wakina mama na wakina baba naombeni kura zenu. Kwa jamii fulani ya wachagga mboro au mamboro ni jina la ukoo tu halina maana kama ilivyo kwa kiswahili. n.k
 
Nimeangalia kamusi ya kiitaliano nimekuta neno "kaburi" wao wanaita tom*a. Lugha gongana. *=b
 

Mzee hapa hapo hujawaambia nawapa elfu
 

Shule iko nchi gani?

Nafikiri siyo tanzania hivvyo kama shule inafanya vizuri huwa inakuwa kwenye top five kwenye mitihani ya taifa, mpeleke tu.
 
si jina tu,acha woga.

We Cheusi acha utani, jina tu???? Hivi mwanao kamaliza analeta cheti kimeandikwa USENGE HIGH SCHOOL inakuwaje hapo???? aah!!! no

Alfau atataniwa na wenzake mbaya, sitakubali kumuathiri kisaikolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…