Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hiyo shule wanafundisha hiyo kitu.
Kweli ni jina tu!!! Lakini majina yana maana,lakini inategemeana na kabila au lugha husika. Kwa mfano ukisema kinu kwa kiswahili ni neno la kawaida tu, lakini kwa wamachame au wameru ni soo, au kwa wasukukuma neno mbula lina maana ya mvua, lakini kwa wachagga walio wengi ni soo vilevile. Ukienda Mbulu na Karatu ukitamka neno kura, ni ishu. Sijui wagombea wangeombaje hizo kura kwa wairaqi kuwaambia kwa mfano wakina mama na wakina baba naombeni kura zenu. Kwa jamii fulani ya wachagga mboro au mamboro ni jina la ukoo tu halina maana kama ilivyo kwa kiswahili. n.k
And GOD listens?
si jina tu,acha woga.
si jina tu,acha woga.