ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,741
- 42,173
Imebidi nirudi kuangalia profile join walau nikukadirie miaka ila ni ngumu kujua hiloNdio sababu kwa hiyo waache single Maza wabunge walichopanda, ukipanda mazuri utavuna mazuriaz ukipanga mambo ya hovyo usilalamilw ukipopolewa we vuna tu
Sawa, werevu tumeshaelewaBaba wa kambo mnufaika
Asieee 🤣🤣Mimi kam mwanaume ni bora aje na makando kando mengine kuliko kuja na hilo la mtoto ..
Najua ni ngumu wew kuelewa hicho kipengele cha mtu kuwa na intruder kwenye familia yako..
Mbaya sana
KaribuSawa, werevu tumeshaelewa
Hawawezi kabisaHata Single Maza mwenyewe hakubali Mtoto wake wa kiume aoe single Maza🤣🤣
Nadhani bado hujanielewa, Single Maza anatokana na machaguo yake na maamuzi yake, na kwa kuwa tunaawma kila mtu aishi anavyotaka ni maamuzi yake basi hata matokeo ya maamuzi yake nayo yawe juu yake hakuna Huruma hapaImebidi nirudi kuangalia profile join walau nikukadirie miaka ila ni ngumu kujua hilo
Nikuulize single mother wanatokana na nini?
Ili mwanamke aitwe single mother inakuje kuaje yani?
Ahsante sana kwa kunielewaAsieee 🤣🤣
Hii inashangaza sana
Anyway kila la kheri mkuu
Nyongeza tu japo sio kwa muhimu sana
Ndoa inataka vigezo vingi sana ukiachilia mbali hilo la mwanamke kutozaa 🙏🙏
Swali lako la mwanzo limeshajibiwa. Am not ready for interrogation.
NOTE: Blacklisting single mothers is not insecurity, villainous or misogynistic. Is simply a man is not stupid.
Hii ya kwako sio standard, ni personal preference tuN̈B: We set standards
Nishaelewa uwezo wa kuangalia mambo kila la kheriAhsante sana kwa kunielewa
Mimi kigezo chang ni kimoja tu. Asije na kiumbe nyumbani kwangu.
Hiyo ni sheria ya asili(nature)
Ni kweli MkuuNadhani bado hujanielewa, Single Maza anatokana na machaguo yake na maamuzi yake, na kwa kuwa tunaawma kila mtu aishi anavyotaka ni maamuzi yake basi hata matokeo ya maamuzi yake nayo yawe juu yake hakuna Huruma hapa
Wewe ndiyo kabisa huelewiNadhani bado hujanielewa, Single Maza anatokana na machaguo yake na maamuzi yake, na kwa kuwa tunaawma kila mtu aishi anavyotaka ni maamuzi yake basi hata matokeo ya maamuzi yake nayo yawe juu yake hakuna Huruma hapa
Fikiria umeoa mke wako ana miaka 25 ukamzalisha mtoto halafu baada ya miaka 4 wewe ukafa. Hata kama uchumi hautokuwa shida unafikiri ni sawa huyo mke uliyemwacha kuishi bila kuchakatwa tena for the rest of her days!Hii dunia haiitaji huruma kabisa .. kila mtu abebe mzigo wake
Hii ya kwako sio standard, ni personal preference tu
Huyo ni mjane . Sio single mother kakaFikiria umeoa mke wako ana miaka 25 ukamzalisha mtoto halafu baada ya miaka 4 wewe ukafa. Hata kama uchumi hautokuwa shida unafikiri ni sawa huyo mke uliyemwacha kuishi bila kuchakatwa tena for the rest of her days!
Naweka mawazo yangu bayana .. maana hili ni jukwaa huru mkuu.Sasa rafiki umeombwa uoe? na kama ni ivo sawa, kwanini usimwambie huyohuyo single mother alokwambia umuoe? na una uhakika gani kama wewe ndio mwanaume peke yako duniani? kila siku single mother wanaolewa na mambo yao yanakwenda uzuri tu aya hao unawaoa wewe? Ebu acha ubaguzi kesho yako huijui
Technically nae ni single motherHuyo ni mjane . Sio single mother kaka
The author didn't blame women. He just shared his standard term. Man's requirements is not misogynistic.The issue of men blaming women for single motherhood while failing to hold their fellow men accountable for abandoning women and leaving them to raise children alone
This is something selfish and hateful men do, because they fail to look at the issue from a balanced perspective Period !
Jukwaa huru ndio ufundishe ubaguzi wa hali ya juu kiasi hikiNaweka mawazo yangu bayana .. maana hili ni jukwaa huru mkuu.