Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,459
- 170,806
aiseeeeeh!!!!!!!
kwa ile video ya wajapan uliyonitumia , nimeamini unaweza ukatombewa kwenye tip of your nose na usistukie khaaa.......
itabidi zitengenezwe chupi zenye alarm.
Umesema kweli.aaahgrrrrr! Hakuna cha kukurupuka wala kunyatia. Maadili yamemomonyoka hakuna utu tena hakuna heshma tena. Kizaz chote kimeoza.
Zaman ukihesabu mabint kumi wa miaka 15 hadi 20 unakuta zote ni bikra au 8 n bikra lakn sasa hvi ukichukua hao hao 10 hukuti bikra hata moja wote wamezibuliwa sasa hapo kuna mke mwema?
Sasa hvi sio wanawake wala sio wanaume wote tumeoza.....
Na uskute huyo mtoa maada ni miongon mwa wanaogegeda wake za watu ndio maana anaogopa ile kauli ya kila aangamizaye kwa upanga......
Yeye amejuaje kuwa wanazibuliwa vyoo? Hayo malipo ya gest amejuaje kuwa wanalipahaohao wake za watu..
Haya maisha n kufungua moyo tu, kujitoa ufahamu , kujifanya wanagongwa wa wenzako ila wakwako hagongwi ila ukijfanya kufuatilia utakufa siku zisizo zako walah
Nipo karbu na ofisni kwa wife namfatilia huu uzi kidogo uniuwe
Utakufa na presha bure, rudi nyumbani uangalie EPL
Umesema kweli.
Mimi nilibahatika kuoa mwaka 2008 tulidumu kwenye ndoa miaka mi 4 tu, na mimi sikuwa na mpango wa kuoa wala nini MAZA alinishikia bango akawa ananisumbua nioe, nikaoa Mwarabu ambae MAZA alinichagulia, kwa kweli mimi na yule Mama watoto hatukuwa na matatizo, tatizo Mama yake(Mama watoto) alikuwa anataka aolewe na Mwarabu mmoja anaishi umangani na yule wa Umangani akasikia kaolewa ilimuuma sana. Baba wa Mama watoto wangu alikuwa hana tatizo, tatizo yule Mkewe(Mama mkwe) alikuwa anasumbua sana ikafikia mtoto wake anakuja niambia maneno yote anayopewa na Mama yake ikawa inaleta tafrani hadi mimi inafikia napoteza na kuanza kumchapa Mama watoto, ni story ndefu sana, ngoja niikatishe.
Unajua mila za waarabu wa kibongo msichana akifikia umri fulani wanamuweka ndani hatoki hadi siku ya kuolewa na lazima aolewe bikira.
Basi tena mimi kwa sasa sijui kama nitaoa, kwa kweli nimedumu kwenye ndoa yetu 2008 mpaka 2012 nikachemka. Nilichobahatika watoto wawili wa kwanza Dume(miaka 5) na wa pili Binti (miaka 3 ambayo Mungu akipenda mwezi wa 12 atatimiza mitatu kamili) na watoto wangu wote wawili wapo nyumbani kwetu wanadeka kwa Mama yangu(bibi yao)
Haha mpaka saa moja nikaangalie meche ya wanao jua arsenal vs tot
muombe mungu akupe mke wa kufanana na wewe. ukiomba kwa kumaananisha na kuamini mungu wetu ni mwaminifu atakupa mke mwema.
SI KWELI KABISA, KWANI HUWEZI KUZAA BILA KUOA AMA KUOLEWA? umekariri naona.Babako angeogopa kama wewe usingekuwepo!
Old stories...!
aiseeeeeh!!!!!!!
kwa ile video ya wajapan uliyonitumia , nimeamini unaweza ukatombewa kwenye tip of your nose na usistukie khaaa.......
itabidi zitengenezwe chupi zenye alarm.
Ha ha ha mi ni ticha we ni daktari?
kama ni daktari ombi limepitishwa makoti meupe na stethoscope ndo ugonjwa wangu
Thread za kizushi utazijua tu...kuna ofisi zinabana watumishi kama za private...mpaka mpate masaa mawili ya kuwalala wake za watu?...kama mekosa wa kuoa acheni kukashifu ndoa za watu...
Umesema kweli.
Mimi nilibahatika kuoa mwaka 2008 tulidumu kwenye ndoa miaka mi 4 tu, na mimi sikuwa na mpango wa kuoa wala nini MAZA alinishikia bango akawa ananisumbua nioe, nikaoa Mwarabu ambae MAZA alinichagulia, kwa kweli mimi na yule Mama watoto hatukuwa na matatizo, tatizo Mama yake(Mama watoto) alikuwa anataka aolewe na Mwarabu mmoja anaishi umangani na yule wa Umangani akasikia kaolewa ilimuuma sana. Baba wa Mama watoto wangu alikuwa hana tatizo, tatizo yule Mkewe(Mama mkwe) alikuwa anasumbua sana ikafikia mtoto wake anakuja niambia maneno yote anayopewa na Mama yake ikawa inaleta tafrani hadi mimi inafikia napoteza na kuanza kumchapa Mama watoto, ni story ndefu sana, ngoja niikatishe.
Unajua mila za waarabu wa kibongo msichana akifikia umri fulani wanamuweka ndani hatoki hadi siku ya kuolewa na lazima aolewe bikira.
Basi tena mimi kwa sasa sijui kama nitaoa, kwa kweli nimedumu kwenye ndoa yetu 2008 mpaka 2012 nikachemka. Nilichobahatika watoto wawili wa kwanza Dume(miaka 5) na wa pili Binti (miaka 3 ambayo Mungu akipenda mwezi wa 12 atatimiza mitatu kamili) na watoto wangu wote wawili wapo nyumbani kwetu wanadeka kwa Mama yangu(bibi yao)
Mwanaume anayeogopa kuoa ujue haogopi kuolewa.