Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

.....Pale DIT wanauza supu ya utumbo kwa 1,000. Naipenda sana hii supu, huwa sinaga hata na hamu ya mchemsho wa kuku sijui nini, mimi ni Utumbo tuu na Chapati zangi.
......Nakushauri na wewe pia pale Mkuu ukapate supu ya Utumbo.
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

halafu eti umeinjoy life on planet earth? utumbo wa mbuzi na chapati baada ya kuamka na hang over ya castle lite...
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

Aisee unakosa uhondo sana, watu tunakula utumbo mbichi kabisa unakata kipande kutoka kwenye pindo la utumbo ule wa taulo, unakata na kipande cha ini kidogo, unachanganya na nyongo, unaongeza na chumvi na pili pili kwa mbali.

Yaani hapo ninapoandika mate yananitoka.
 
CHIPS DUME;
Tuseme uliwahi kuny.onywaga hicho kinyesi au ni nini? Kama weye huli mbona wengine twala bila hata kuona hicho kinyaa? Tuwe tu wastaarabu kuhusu mambo ya milo. Wanaokula vyura kuleni, wanaokula panya kuleni, hata hayo mengine kuleni bura kimeingia tumboni mengine ni mtazamo tu. CHIPS ni viazi tu si mnyama useme huyu dume na huyu jike.
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

Jamaa amezoea hii mboga.
 
Attachments

  • 1427308930018.jpg
    1427308930018.jpg
    28.8 KB · Views: 114
Utumbo kwenye ndizi za nazi au mchicha wa nazi acha kabisa mkuu...lakini napenda ule wa taulo maraprap no thanks!!!
 
utumbo wa mbuzi mziri asikuambie mtu tena usioshwe sana piga supu yake na kapilipili kwa mbali na jana ulikua monde weee hatariii
 
Tena huwa mtamu ukiwa na kunyesi huwa ni uchungu flani hivi japo huwa sio kinyesi mkuu ni utando
 
Aisee unakosa uhondo sana, watu tunakula utumbo mbichi kabisa unakata kipande kutoka kwenye pindo la utumbo ule wa taulo, unakata na kipande cha ini kidogo, unachanganya na nyongo, unaongeza na chumvi na pili pili kwa mbali.

Yaani hapo ninapoandika mate yananitoka.
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

hata wewe kuna vitu unakula ambavyo wenzio hatuwezi kula kabisa hata kuvijadili hatuwez
 
Back
Top Bottom