Mke wangu nimemfumania
mara 2 na marafiki zangu, nilipomuuliza akaanza kunitukana na kunieleza
kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani
wakati tunaoana mwaka 2009 mama yake alishafariki mwaka 2003.
Nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze
maisha yangu mapya yeye nimuache?
Naombeni ushauri wenu wana jf.
Silence is a big weapon! you can use it
Pia hili sio jukwaa sahihi kwake bro, namshauri apeleke kwenye mahusiano, mapenzi na urafiki huko waweza kusaidiwa yaidi....