Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Well said. ...1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.
Hayo ni maamuzi yangu binafsi.Dada wewe utashiriki?
Kupanga ni kuchagua, we hata ukitaka kula chura wakati wenzio wako kwenye ukuta - ruksa!1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Hayo ni maamuzi yangu binafsi.
Hayo ni maamuzi yangu binafsi.
Muda uliotumia kuandika hizi takataka nadhani ungekuwa umeishamaliza kumwagilia hizo bustani zako hewa....pungezeni mineno jmn...m.haukuambiwa uende dodoma ......1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!
Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Umesha nunua ORXY GAS?[emoji2] [emoji3]Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.
Acheni kujipa tamaa. Hakuna MTU atakayetia fyoko kujifanya anaandamana period! Dodoma mbona mlishindwa!! Safari hii ndio mmeandaliwa mkong'oto safiiiiii!Mid
Muda uliotumia kuandika hizi takataka nadhani ungekuwa umeishamaliza kumwagilia hizo bustani zako hewa....pungezeni mineno jmn...m.haukuambiwa uende dodoma .......kaa mtoto wa kiume kuwa na vimaneno vya kikekike ni laaana
hahahahaha, bora umestuka, njoo uchukue na kadi ya CCM1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!