Siwezi kuangalia watu usoni...

Siwezi kuangalia watu usoni...

Kaa karibu na wanaonyoa watu in barbershops.! Hawa vinyozi huwa ni specialists in eye contact.! Muda wote wakinyoa huwa wanaangalia watu, wao na watengeneza kope, utakuwa vizuri in eye contact...
 
mhh ungenipa mie hiyo aibu maana mpaka nikiongea na wanaume huwa wanaangalia wao pembeni sijui kukwepesha jicho kwa yeyote na nahisi inaleta shida pia kwenye baadhi ya mambo. Chaaaaa hakuna lenye uafadhali kila kitu inatakiwa kiasi
duuh wewe ni ke
 
utakuwa muongo sana, watu wenye tabia ya uongo mara nyingi hawawezi kumuangalia mtu usoni(eye contact) kuogopa kujulikana.
 
Sasa ukiwa na kazi ya presentation unafanyaje kwa hadhira?
 
Back
Top Bottom