Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
acha kufanya masturbation
Anatongoza na miwani..Ukimvua tu anatoka nduki kama mwiziKhe! Sasa unatongozaje we jamaa?
Anapiga..Kwa style za kutokuangalianaKupiga huwa unapiga? Au haujawahi
siku ukijafanya interview hasa kwenye International orgniuzation ita ku cost, eye contact ni muhimu sana hasa kwa wezetu wazungu , inaonyesha uko makini na una confidence, ila kwa midle east ( mashariki ya kati) tabia yako itawavutia wengi sana maana utaonekana una stara au hijaba, na watu wanamna yako huko wanthaminiwa na kuhushimiwa sana, kwa hapa kwetu fanya mazoezi itaisha, jikasirishe na karipia mtu huku ukimtazama machoni, ni ngumu sana ila unaweza uki apply ka dharau kidogoEye contact nazungumzia
Duh! Mi nilidhani wenye matatizo haya huwa wanaogopa lugha ya macho kumbe hata picha tu? Picha hawaziogopi.nunua picha kubwa za mademu,kisha weka ukutani geto kwako, kisha kila siku ziangalie direct kwenye macho, au unapoangalia taarifa ya habari mwangalie mtangazaji direct machoni, baada ya muda utazoea.
Aaah wap sikuiz sura yannHiyo safi sana Bro...utaepuka mengi sana Dunia hii ya leo,Nyuso za watu zimejaa nuksi Tu.
hata picha zina macho pia. kwahiyo ni sehemu mubashara kufanyia mazoezi.Duh! Mi nilidhani wenye matatizo haya huwa wanaogopa lugha ya macho kumbe hata picha tu? Picha hawaziogopi.
Huyu kiboko aseeAnapiga..Kwa style za kutokuangaliana
Anatongoza na miwani..Ukimvua tu anatoka nduki kama mwizi
Eti mtoto mzuri kama wewe naanzaje kuacha kukuangalia usoni..Haha ha aa bebe una vituko