Siwapendi mods.

Siwapendi mods.

mbona maswali likuki soon after salamu?
Mie siulizi cha husny wala smile

nakukula kwa muda wangu, we hao unaowauliza wa nini?

Tuendelee tu from here, start point your eyez
nipeleke kigamboni basi nikapige mbizi
Hahahah..jamaa pale kachemsha. Keshaelezwa lakini, soon atarekebisha kauli yake.
Haya macho ni kwaajili yako, yanakuchungulia mpaka kunako!
 
ha ha ha

na pua tayari kwa kudonoa ulezi
unanikumbushaga sana mambo ya St. Nowhere University

kachemsha kumbe
mie siasa 0%, ndo mana ikiletwa chit chat huwa napagawa.
So nauli haipandi tena?
Au anabadili kauli tu?

Maongezi haya ni kwa rejao na kongosho tu
wengine msiyanukuu

Hilo pua kazi yake ni nzito sana..nikielezea hapa JF server zote zinaweza kuzima.
Mimi siyo msemaji wake..tuendelee wote kufuatilia maamuzi yake!
 
tatizo lako ushungi wa mwali unakudatisha.

Huoni mie hilo lemba hapo kichwani?
Afu na wewe ntakuwa nakupa siku moja moja unagonga TBS chakula cha mtoto kama huyo mwenzio
Nafuatilia movie tu taratibu hapa..nimevaa miwani ya 3D! Achana naye huyo, usiumize kichwa kabisa
 
afu unajua upara huo unaelezea some theories
ngoja nikajisomee afu kesho ntaeleza kwa ufupi ili nisichoshe seva.

Hilo pua kazi yake ni nzito sana..nikielezea hapa JF server zote zinaweza kuzima.
Mimi siyo msemaji wake..tuendelee wote kufuatilia maamuzi yake!
 
tatizo lako ushungi wa mwali unakudatisha.

Huoni mie hilo lemba hapo kichwani?
Afu na wewe ntakuwa nakupa siku moja moja unagonga TBS chakula cha mtoto kama huyo mwenzio
Kwa hapo huna haja ya kuniwekea limbwata! Mwali unatural wake ndio unanichanganya lakini!
 
afu unajua upara huo unaelezea some theories
ngoja nikajisomee afu kesho ntaeleza kwa ufupi ili nisichoshe seva.
Hapo ni hekima na busara zimejaa tele. Halafu mafaranga yapo ya kutosha. Ngoja nipumzike dia..baadaye!
 
Back
Top Bottom