Siwapendi mods.

Siwapendi mods.

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Sababu ninazo, ila sitazisema kwa sasa.
Kifupi siwapendi hawa jamaa kwa ujumla wao!
Naomba hisia zangu ziheshimiwe...
 
" Asavali" umejisemea ukweli! Yaani huwapendi tu, BASI!!!
 
Hawa ni kama MATRAFIKI humu.......hawawezi kupendwa na wavunja sheria....na bila ya uwepo wao TUNGEGONGANA humu balaa
 
1.Kunywa sumu.
2Kadumbukie baharini.
3. Ondoka jf.
4. Wakubali vile walivyo.
Nimekupa choices.

thanks dada.
Nimechagua no. 2, ila kwenye maji mafupi afu nitatoka.
Sawasawa?
 
Mkuu Andare,
Kitu gani Mods: walikukwaza?
 
Mkuu Andare,
Kitu gani Mods: walikukwaza?

hebu nenda jukwaa la malalamiko, kuna uzi unanihusu.
Cheki nao afu nitaku-PM nikuambie.
Au sio?
 
ivo eh?
Ngoja nifunike kombe mwanaharamu apite...
Ila hata... Trafiki hawezi kuzuia msafara wa rais eh?

Ni kweli na Rais wetu humu ni MMMJ......hajawahi kula ban hata siku moja na ana post kama 30,000 hivi
 
Ni kweli na Rais wetu humu ni MMMJ......hajawahi kula ban hata siku moja na ana post kama 30,000 hivi

nahisi kuna makamu wake, anaitwa FF, kuna siku trafiki mmoja alizuia msafara wake, bosi wake alimfokea sana. Na msafara ukaamriwa uendelee na safari...
 
Andare, una habari Mods ni wana wa adam kama sie! wanaweza kuwa na mapungufu yao, nadhani ungeweka wazi sababu ya wewe kutowapenda ili tujue jinsi ya kusaidia muishi kwa mapendo. Kama wamekosea basi sote tuwaambie jamani mfanyavyo sio. Na kama umevunja utaratibu tukukumbushe, nina wasiwasi unaweza ukaweka hiyo sababu yako hapa hadharani halafu na wengine tukakuchukia na wewe!
 
Back
Top Bottom