Siwapendi mods.

Jamani mi ningekuwa karibu yako ningekuchumu, aise hus umempatia. Amefikaje humu kama hawapendi wanaomuongoza? Unapendaje kusafiri wkt humpendi dereva? Nwy, option ya ziada aanzishe forum yake ili yeye awe mod na awe mchangiaji.
poor boy!
Unatafuta gia ya kumwingia Hus kwa kupitia mgongo wangu eh? Wasafiria nyota ya wenzio sio? Ng'arisha ya kwako babu we...
 
Jf ukitaka kuwa Premium member pesa yako tu..nchi hii kila sehemu pesa ndio inaongea mkuu.

kama ndio huu wa kunyanyasa member wengine?
Bora niwe kama nilivyo...
 
kawaida yao hawa. Shobo mbaya sana, hasa kwa mama mtu mzima kama huyu...
Ningekuwa Makamu wa Rais humu JF ningesema 'Unanchekesha'!

Hahahahaha. . . Ukiwa huna hoja tulia. Huo umama utuuzima wa kunibambikia jivishe wewe labda utakuja na busara walau kijiko kimoja.
 
Hahaaa.....you guys make me flattered.
Keep it up, Im entertained.
 
unapoteza muda wako tu kufikiri hivyo
maana hawatikisiki.. uwapende usiwapende yote sawa..
 
unapoteza muda wako tu kufikiri hivyo
maana hawatikisiki.. uwapende usiwapende yote sawa..

naona unautaka ugomvi wangu na LIZZY!
Mwambie tu akuuzie halafu tuliendeleze...
 
Huyu lazima atakua ni under 18, anataka attention toka kwa Paw, Roulette au Cookie...

kuwa under 18 si kosa, kama ndivyo nilivyo hewala.
Wewe ni mgeni humu JF, hujanifahamu vema bado.
Huyo Cookie na Paw hata siwajui, labda RR ndo ninaemfahamu. Sasa hayo ya kutaka attention yanakujaje...
NB: Ingekuwa poa kama ungefuatilia mjadala wote kabla hujatoa maoni yako.
Sawa mpenzi?
 
Hormones zinakusumbua. mpenzi wako nani?
 
Hii sinema ni sawa na eliza wa tegeta na Bishanga

 
mbona maswali likuki soon after salamu?
Mie siulizi cha husny wala smile

nakukula kwa muda wangu, we hao unaowauliza wa nini?

Tuendelee tu from here, start point your eyez
nipeleke kigamboni basi nikapige mbizi

Nilikumiss sana kwa hiz siku chache ma dia...mambo yanaendaje? TF mzima? TB naye umeshamweka sawa?
 
afu ukitizama muda wenyewe wa majeruhi
ukute mwindaji kakosa swala
atanyakua hata simba mzazi huyu mwali sijui hajui hilo!!!

Mwali vp? Mbona waenda mbali tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…