Ongezea na lishe mbovu,Uchovu na msongo ndiyo chanzo cha tatizo la nguvu za kiume!

Sahii kabisa,Hii ni product yako?
Nice promo
Tafuta movie inaitwa made from china..
Utajua ujui ni mindset tu.
Lishe inasaidia Sana kuliko hayo makorokoro wanayojidunga.Kabala ya show siku mbili au tatu huwa najiandaa kwa show.
Nakunywa maziwa fresh asubh mchana na jioni kila siku
Natumia asali asubh na jioni
Nakula ugali na nyama choma kila siku.
Huwa najitahidi kabisa kuacha mawazo.
NB. Hapa mtoto wa watu kama asipo omba naomba nipumzike atakuwa ni mzimu huyo.
Tule na tujiandae vizuri kabla ya mechi hutokuja jutia
Mechi nzuri inahitaji maandalizi sio unatoka zako huko na stress basi ukapige show utapata aibu ya mwaka.
Kiswahili Cha wapi hiki mkuuNchi ngumu sana hii na venye iko na vijana wa hovyo

Kweli bro..
Hapa unamaanisha nini mkuumaZoea ya kusex Mara kwa mara
Kua na maZoea ya kusex Mara kwa Mara.Hapa unamaanisha nini mkuu
Kuacha mazoea ya kusex au kuwa na mazoea ya kusex

Ni mataka taka TU wanajisumbua,Kweli bro..
Ukila chakula kama ugali wa ulezi na nyama,matunda yako hasa tikiti maji au parachichi utapiga show ya maana sana.
Ila sex ni mindset ukiwa powa hutotumia hayo madawa yao. Mie nauita uchafu uchafu tu
Sure mkuu..huko enz hizo nilishapigaga nyeto 10 years mfululizo na show hazikua zinanisumbuaHii ni product yako?
Nice promo
Tafuta movie inaitwa made from china..
Utajua ujui ni mindset tu.
Uko sawa mkuu!Haya mambo yenu ya madawa Ya Nguvu za kiume yana ulaghai mwingi Sana.
Cha muhimu Ni lishe bora, maZoea ya kusex Mara kwa mara na kua ktk Hali nzur kisaikolojia.
Wakuu Mtazunguka Sana,
Ila hamna suluhisho Zaid ya hayo niliyoyataja hapo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwa sio mtanzania huyu