Siwaelewi wanaume wa karne hii

Ww km unajua wajibu wako bs tulia. Ni jambo jema Ilo. Kuwa na sura au kutokuwa na sura haviingiliani ivyo. Unaweza ukawa na shepu mbovu na mwanaume akafa akaoza na ukahudumiwa km kawaida. Ni swala la upendo tu. Apa tunaangalia wasiosettle kimaisha alafu antk kipoozeo
 
Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?

Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?
Swali zuri sn. Ila tunaangalia dhima za mwanamke na dhima za mwanaume ktk jamii kidg. Wanawake mbn wapo wanaachwa pia
 
[emoji23][emoji23] bila samahani apa ni sehemu ya kujipumzisha tuu. Ss mkuu Mimi cjaongelea sura, je kwa yule mwanaume Hana Kazi, yupo kijiweni na anamtk demu mkali kbs na uwezo wa kummiliki Hana. Apo tunawekaje ss lbd?. Na yeye uwezo hanaaa
 
Ww hujawajua wanawake vzr ww. Mwanamke anaweza akawa pisi Kali kbs, lkn hutaweza kuamini anapomuhonga kijana wa mtaani mihela na mihela, either anaweza kutoa kwao au lah kwa shuga Dadi wake. Alafu ukimuona kijn mwenyewe anaweza akawa ata Teja [emoji23][emoji2]
 
Maamuzi ya kuingia kwenye ndoa navojua hayafosiwi na mtu kujitongozesha.....mtu anaoa akiangalia future life yake na watoto wake mambo ya shape waachie wanunuzi na wauzaji
[emoji108] safiiiiiiii kbs, haelewi kitu uyu.
 
Nimeita ivyo kwenye swala ndoa. Kbl ujaolewa si lazima mchunguzane kwanzakiu jmn. Au nakosea?
 
Kama ulivyotaja vijana wa zamani,wewe ni wa zamani kwan vijana wa zamani uliwajulia wapi?waache vijana wa sas kwan umri wako ushapita hawakuhusu
[emoji1787][emoji1787] acha panic mkuu
 
Kwani hukujua anaishi kwao hadi ukaanzisha mahusiano nae?
 
Dah!!
Mleta mada kapigwa spana mpaka namuonea huruma [emoji28][emoji28]

Kakimbia Uzi wa moto[emoji28][emoji28]
Ahahaha ubize kidg ulichangia mkuu. Sijakimbia, hii ni sehemu ya kufurahi tu na kujuzana mambo mengi. Huwez jua hii mada yng ya leo nani imfurahisha na imemtoa kwenye mawazo. Si Kila kinachoandikwa ni ukweli wa mtu. Tchaooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…