Ni mfano tu . kwan ww huwa uenjoy mkipeana?
Mtt wa kike anaweza asitoke kwao na akaolewa apo apo kwao tu. Lkn mtt wa kiume ww ndiyo baba wa familia, utaweza kuoa ilhali upo unakula kwa baba?. Na unamleta bint wa watu apo apo?. Ukiwa hujakaa vzr we tulia tu, piga pul mambo yameisha na sio kusumbua vidada vya watu vikusubr miaka 20 eti ukijitafutaNdege wafananao huruka pamoja... Toka kwa wazazi wako wewe kwanza
Nimeongea, hii ina maana siko uko unakofikiria. Ndo mn nimesemea mwanaume tafuta ela ndio umfate mdada wa watu na sio kutwa kijiweni then untk wadada wa watu, mwsho wa siku uvitie mimba ukimbie mtaa. Maana uwezo wa kulea huna.Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
[emoji2][emoji2] unajifariji eeh..... haya bhn.Huyu anaongelea mwanaume au mume? Wanaume hawana majukumu isipokuwa wao wenyewe tu. Waume wao wana majukumu ya kifamilia angalia tofauti zao kabla ya kuwakilisha malalamiko.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji2][emoji2] wapi niliposemea kwamba nauza ss jmn. Huo ndo ukweli lkn, mwanamke matunzo. Sio ugali wa shikamoo afu untk mwanamkeKwaiyo unataka kutumia mbususu yako kama mtaji??
Anyway bora alivokunyima.
Alafu usitupigie kelele tafuta hela zako kama rahisi[emoji28]
Na wanaume wanaoomba pesa kwa wapenzi wao wa kike tuwaiteje?. Mimi apa nasemea ambaye yeye ni ombaomba Kila siku kwa mwanamke wake, alafu mwsho wa siku anakwenda kuonga kwengineWanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
[emoji2][emoji2], Asante nimekuona.Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!
Sema dah, mzinga wa Laki 3?!
Hivi si mshahara wa mwezi mzima wa Police Constable huo?!
Kama graduate ndo anaamua kuwalipa Bodi ya Mikopo, si marejesho ya takribani miezi 3 hayo?
Basi iwe angalau 50K, lakini 300K?!
Hapana bhana, NOT FAIR kabisa...