CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Hapana ni facts tu,, tunajua nafasi zetu,, hilo lako jinsi ulivoweka hauna tofauti na wale wa sinzaAcha makasiriko mkuu [emoji2][emoji2], sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea ujue nafasi yako
Polemm kuna demu aliniambia kabisa kama huna hela usije kunitembelea daah alinifikirisha sana siku hiyo ila nikapiga moyo konde siku zikaenda, yy akautumia usichana wake vibaya maana kipindi hicho alikuwa kigoli kweli. Baada ya miaka kadhaa kupita tukakutana morogoro katika harakati za kutafuta maisha, daah huwezi amini lile umbo namba nane halipo tena yani kiuno hakieleweki kiko wapi tumbo linaanzia wapi. Uso umechunda kwa kujichubua, ziwa kama ananyonyesha watoto yatima. Kazalishwa watoto wawili basi tukabadilishana namba. Sasa sikuhizi kila muda akituma sms lazima asisitize niende kumtembelea. Basi tu sinaga roho ya visasi ila ningemjibu hovyo.
We unajiweza hata 3/4 ya mahitaji yako? Au ndio unatoka kulelewa na wazazi unataka sisi tuvhukue majukumu yao?[emoji4] ushasema wenzangu. Tuna utofauti ss
Ukipambana pambana. Kwn unafkr hakunaga wanawake wenye mapenzi ya kweli,?Yaani kaka wanatufanya kama source of income zao! Mwanamke analalamika kabisa hapewi pesa,wakati huo msela upo unapambana na maisha! Na siku mambo yamenyooka baby nyingi za hapa na pale! Wakati una pambana walikua wanakuona si kitu,si chochote!
UsikaririUsitegemee kijana wa under 20 akawa na good life,hapo kwanza ndiyo katoa Chuo,bado ana hustle kitaa,alianza walau 30 hivi ndiyo mambo yanaweza anza kunyooka taratibu! 40 huko mambo yapo kwenye msitari! Sasa wewe baada yakuanza nae from the scratch unasubiri atobod ndiyo ukajipachike?? Unadhani atakuheshimu??
pole kwake sasa hivi yy ndiye muhitaji wakati mm nilishamove on hahaa maisha haya. Sometime muwe na uvumilivu.Pole
[emoji4] mkuu naona ujaelewa nilichomaanisha. Huduma sio mpk umpe gari, nyumba, ajue miradi yako. Mbn mbususu unakula husemi subiri nisiichoshe mpk tufunge ndoa?. Ata ukimpa jero ya vocha kwa mwaka bd hiyo itabaki ni huduma na unamjali mwanamke wako.Kuna Mme na mwanaume! Kuna mke na mwanamke!
Mimi kama mme wa mke wangu siwezi acha timiza wajibu wangu kama Mme na Baba wa familia!
Tatizo lenu mnapenda kujiweka kwamba ushakua mke wa mtu flani,wakati huo Mimi sijafika hata kwenu kukutolea mahali ili tuishi pamoja! Mimi bado ni boyfriend wako tu,sasa naweza vipi kujilipua hadi niwe natoa pesa za matumizi kwako wewe?? Nitatoa pesa, nitakununulia gari,nitajenga nyumba na nitakua na miradi mingi kwa ajiri ya familia yetu,sasa wewe ni girlfriend tu,unataka nikupe hadi mali ambazo wanapaswa kujua Baba na Mama yangu tu,subiri uolewe utapata vyote unavyotaka! Unataka pesa zangu kwani unauza papuchi?? Kama hamu naweza kwenda hata pale uwanja wa Fisi,Buguruni nikafanya acquisition ya demu,nikaenda kutoa hamu zangu!
Matokeo yake,mnakua mnapata wanaume ambao hawataki usumbufu,wanakua wanakula mbususu nakukaa pembeni,ukija shituka mda ushaenda,hakuna hata mtu ana time na wewe! Unaanza na kwenda kusali kwa kina Mama Rwakatale wakuombee upate Mme! Acheni kujipachika mambo mazito!
Tofautisha kati ya pesa na hudumaKimsingi ukishaona binti anachanganya mapenzi na pesa tambua tu unadate na muuzaji na si mtu wa kumtumainia kumfanya mke siku za usoni. Kinachobaki hapo wanaume tunapiga mbususu kutokana na gharama tunazoingia na siku tukikinai, tunanyanyua majeshi kwenda kambi nyingine sampuli kama ya awali mpaka tukutane na hapana hiyo kwanini usiiweke tu itatusaidia baadae huwezi jua ya kesho, mara mpenzi wangu una matumizi mabaya ya pesa mm sipendi siyo vizuri. Naam kwa kauli hizi sasa tunajipachika kama tatto na si stickers tena then tunafanya maisha.
Iyo ndo njia sahihi. Achana na mahusiano, tafuta pesa zakoEbu kila mtu kwanza atafute ela zake ukute anaekupiga kizinga cha laki 3 nae hana hata tembo wanne, inshort na yeye anashida na njaaa tu, halafu mke ndo anahudumiwa ukiwa nae ndani siyo mara mchumba sijui mpenzi sijui vitu gani ebu kila mtu ashinde mechi zake
kuna huduma bila pesa? Unawezaje kutofautisha pesa na huduma? Kila huduma dunia hii uenda sanjari na pesa.Tofautisha kati ya pesa na huduma
Tofautisha pesa ktk mapenzi. Yule ambaye anajiuza. Unampa mbususu anakupa pesa. Imeisha iyo, teyari mmemalizana. Huo tunaita ni umalaya. Na kitu kinachoitwa nafasi ya mwanaume ktk mahusiano, kataa kubali wanaume wote wanahudumia wanawake zao ktk mahusiano yao. Hkn ambaye haudumii, ata km ana malengo naye, ata akimpa vocha ya jero kwa mwaka tayari iyo ni huduma.Kuna kitu kinanitafakarisha sana. Hivi mahusiano ni biashara.... indirectly, au ni barter trade, au mapenzi ni nipe nikupe... Huna usinijue..... Mapenzi ni nini hasa pale ambapo Mwanamume anakuwa amefilisika au amefulia kabisa???