Siwaelewi wanaume wa karne hii

Sasa ukifa unategemea uzikwe nazo au? Ndio tunazikomba.
 
Hakunaga ex mkwe wewe, once mkwe basi ni mkwe tu.

Tunawapenda sanaa pamoja na pesa zenu. Kama Extrovert amesema pesa zake zimeshikana na roho, sasa utampendaje bila kupenda na pesa zake? Huoni hayo ndio mapenzi ya dhati!
Hahahahaahhaa nmefutaa ...mama mkwe mpendwaa ila pesa mtuonee huruma
 
Hahahahaahhaa nmefutaa ...mama mkwe mpendwaa ila pesa mtuonee huruma
Yaani kuna kiumbe kina huruma hapa duniani kama mwanamke kweli? Tunawahurumia sana jamani, ndio maana tunawaomba kidogo tu sio sana.
 
Siku ukiacha kudanga ndio utapata mwanaume, usawa huu unamuomba mwanaume laki tatu kweli?
 
Ukiniomba ndio nakuacha bora nianze mwenyewe kukupa[emoji23]
Sasa wewe mpare hadi pesa zije zitengane na roho ufikirie kunipa si Bwana amerejea kwa mara ya pili[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
50/50 na women empowerment imetengeneza wanaume wengi ambao ni jobless na weak to the point imeanza dharau sasa!πŸ˜‚
Wanawake ndio wanamiliki fursa nyingi za hela ila wao wanataka walelewe na ma jobless
50/50 mbaya sana wanawake wakija kishtuka washachelewa huko mbele unaweza ukasikia WAVULANA nao wanadai usawa wa kijinsia.

Na mara nyingi wanawake wenye hela na mwanaume mwenye misimamo ya kiume hawaivi, ndio maana wanaishia kuwapata Mario,baadae wanakuja kulalamika humu kwenye majukwaa.

Acheni kulalamika wanaume wa karne hii kwani mme watengeneza wenyewe na kila siku zinavyoenda, version mpya ya Mario wanazidi kuiboresha kupiti kampeni zao za 50/50 na women empowerment.
 
Umeandika.kwa hasira kinoma. Na wewe kama.mwanamke tambua mahusiano.sio chanzo cha wewe kupata mapato. Inshot unauza..? Dada kama mwanaume wako hana hela na wewe tafuta kazi mapenzi sio mradi kuwa atakupa hela kila wakati. Na mnasemaga 50/50 nyie wanawake ndio hamueleweki. Mwanaume kama hana hela hivyo hastahili kupenda na kupendwa..?
 
Atakufilisi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…