Siwaelewi wanaume wa karne hii

Sasa unapolazimisha wewe upewe hela ujiulize swali hilo hilo “ili?”

Unataka upewe hela wakati wewe kutoa huwezi kenge maji ww😂 toa hela ili siku ukiomba usionekane mshenzi! Tupeane kama tunavyopeana vikojoleo na hio ndio balance of trade.
 
Hahahahahaha wanawake wadangaji wanajiona such special creatures 😂 nilikuwa namuangaliaga EX wa Rayvanny anavyojiona special kwenye interviews zile ila alipokuja kutoswa looh😂 kanalia lia kama kafala!

Sahizi ukifatilia utakuta kuna muhuni tu anajipigia free mandela!
 
Weeeeee thubutuuu, laki 3 nzima nimuonge mwanaume?. Haijawah nitokea na sithubutu

Yesu alisema Unachopenda kutendewa, na wewe watendee wengine.. sasa kama we unapenda kupewa laki 3 na mwanaume, kwanini wewe usipende kumpa mwanaume wako laki 3?

Ikiwa wewe hupendi kutoa laki 3 kwa mwanaume unae-date nae, kwanini mwanaume unae-date naye akupe laki 3 yake?

Sadly nyie ndo mtakaoja kuwa wake zetu, wengi wenu mna roho mbaya, Mko selfish, toxic & evil Johhana
 
Weeeeee thubutuuu, laki 3 nzima nimuonge mwanaume?. Haijawah nitokea na sithubutu
Sasa unavyolilia wewe uhongwe hio hela 😂😂😂 mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Reactions: Lee
Rafiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiii..kimeumanaaa tayariiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikwambia uwe makini lakini
 
Hebu subiri kwanza, hili gazeti lote ni langu?
 
Umetembelea MMU hizi siku za karibuni kweli? Au mnajifariji tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
haya mambo si tulishamalizana baada ya haki sawa sasa kulelewa inatoka wapi
 

Yaani nyie kutoa hela sio ombi, ni lazima. Hamtaki basi tulieni tu, tusitafutane.
 
Yaani nyie kutoa hela sio ombi, ni lazima. Hamtaki basi tulieni tu, tusitafutane.
Hahahahahah ukiona umetafutwa jua unahitajika kwa kazi maalumu!😂 Mission ikiisha itabaki story tu!
 
MMU kumejaa wadangaji sikuhizi, njaa kali sana maniner! [emoji23] Mnafanya kubadili ID ili tusiwajue tu ila wakulungwa tunazinyaka code!
Kumbe hukunielewa!! Hebu tuliza akili kwanza kidoogo. Achana na na na hizo nyuzi za wadangaji wenzio kafungue nyuzi za wanaume ndio utanielewa hiyo comment ilimaanisha nini. Sisi sio wengi kama mnavyojiaminisha aisee, kuna muda tunatoweka ghafla na dunia ibasimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…