Siwaamin wanawake tena!!

sasa haujaoa unaanza kulalamika, mkeo wa ndo akikutenda si utakunywa sumu ndugu yangu.
 
Ni kweli lakin wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ndio maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu hiyo mpendwa

kanuni gan izo?
 

tatizo you are looking for perfection which is impossible.....make her the woman you want her to be
 
Relationship inaundwa na watu 2,tatizo lolote litokeapo wewe una mchango wa 50% na mwenzio 50%.ndio maana migogoro wa wapenzi wanashauriwa kutatua wao wawili 2.
Unaweza kujiona wewe si mkosefu lakini uchaguzi wa mpenzi wako unakufanya ushiriki ktk kuchangia migogoro ktk uhusiano.ukiwa na utaratibu wa kujichunguza wewe kwanza kabla ya mwenzio maisha ya mapenzi ni mazuri mmmno!
 
inategemea na wewe ni mtu wa aina gani!kama ww macho juu utampata mwenzio wa macho juu,wapo watoto wa kike wazuri tu wametulia,kunguru ni kunguru tu hata ukimchanganya na njiwa atajisahau utasikia kwaaaaaaaa kwaaaaaaaa kwaaa........
 
dont trust anybody...... Even youself.....
 
don't hate the players..hate the game
 
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Smtyms God wants to meet wrong ppl inoder to learn smthing.

Kweli kabisa,
 
Muamin mama yako aliekuzaa wengine utasumbukaa
 
Inasemekana wanaume ni wazembe sana ikitokea wamependa kweli huwa wanakuwa mazombi zaidi,kuliko hata mwanamke anapokuwa amependa

Natamani nimpate huyo atakae kua zombi jamani! Tehe tehe
 
Natamani nimpate huyo atakae kua zombi jamani! Tehe tehe
Mbona wengi tu mwanaume ukimkamata vizuri mbona anakuwa zombi ukikohoa tu hata kama mate yamekupalia huyu hapa,tatzo ni kwamba siku hizi pesa zimewekwa mbele kwa hiyo wamekuwa waoga
 
Nimeziweka mpendwa endelea kusoma utaziona
 
Yeah,and you will be free in deed.
 
Inasemekana wanaume ni wazembe sana ikitokea wamependa kweli huwa wanakuwa mazombi zaidi,kuliko hata mwanamke anapokuwa amependa

Nikimpata huyo atakae kuwa zombi kwangu nami ntakuwa zombi kwake hapo kutakuwa hakuna wa kututoa kwenye huo uzombi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…