Siwaamin wanawake tena!!

Siwaamin wanawake tena!!

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Ni dhahir wasichana/wanawake weng kwa sasa hawana mapenz ya kwel rather they care watapata nn kwenye relationship,,,
Kwa mda nlioish dunian na kukutana na hawa viumbe kila wakat nimekuja ku-realize wako double faced!,,,
my take;
siwaamin tena wanawake,,an tht wil set me free frm loving sniches!
 
umejichunguza na wewe un tatizo gan??ukiwalaum wasichan/wanawake bila kujichunguza ww ni kaz bure mkuu..Je unasamehe ukikosewa??je unamrekebishaje akikosea??mapenzi bila kujifunza jinsi ya kuishi na mwenza wako kwa jinsi alivyo sio mapenz na hutaweza kuish na mwanamke/msichana yoyote
 
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Smtyms God wants to meet wrong ppl inoder to learn smthing.
Eti eeee
 
we mwenyewe muaminifu......kila kitu kibaya au kizuri kinaaza na wewe.kama wewe muaminifu utapata muaminifu kama wewe kiluka njia utapata huyohuyo.maana inaonekana umewabadilisha wengi sana.
 
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Sometimes God want us to meet wrong people inoder to learn something. Relation ikivunjika kabla ya kuanzisha nyingine ni lazima mtu hujioji sababu ni nn na mm nimechangia vp kuvunjika koz mchezo huchezwa pande mbili.
 
Pole.. Jipange upya na ujichunguze kwanza mapungufu yako bila kutuhumu wenzio.
 
Ni kweli lakin wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ndio maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu hiyo mpendwa
 
Kimsingi hutakiwi kuweka imani yako kwa mwanadamu awaye yoyote.
 

Ndio Daudi1.. Kuumizwa katika relation tofauti na jinsia husika sio kigezo cha kuiona jinsia husika wote wapo hivyo. Tunaumizwa,mahusiano yanavunjika na tunaanzisha mengine u never know oneday utampata wako wa uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Haka kajamaa kanalilia mapenzi! Hehee,utakufa umedinda
 
Ni kweli lakin wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ndio maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu hiyo mpendwa

lutemi ningependa kuzijua hizo kanuni saba za uchumba
 
Last edited by a moderator:
Ndio Daudi1.. Kuumizwa katika relation tofauti na jinsia husika sio kigezo cha kuiona jinsia husika wote wapo hivyo. Tunaumizwa,mahusiano yanavunjika na tunaanzisha mengine u never know oneday utampata wako wa uhakika.
Ni kweli unayoyaongea ujue tumeathirika na msemo wa samaki mmoja akioza ni wote kuna baadhi ya wanawake pia wakitendwa huwa hawatamani kumuona mwanaume wa aina yoyote na ukifanikiwa kumpata mahusiano huwa magumu sana kipindi cha mwanzoni vivyo hivyo kwa wanaume.
 
Una umri gani? Je! Unajua jinsi ya kuishi na mpenzi wako? Je! Hao wapenzi wako unakutana nao wapi? Je! Unawatongozaje? Isijekuwa wewe unamfata msichana ukijitapa au unaenda kwenye shoprite zao ukadhani utadumu kwa blah blah. Tuliza kichwa. Mapenzi yapo,yalikuwepo,yataendelea kuwepo. Kila mmoja ni mchezaji katika mapenzi ili muyafurahie. Hakuna mapenzi ya upande mmoja ndugu. Jiangalie wewe kwanza!
 
Hilo ndilo neno and the topic is closed. Kuna watu wengine passwords zote wanaacha kwa mdada unategemea nn mtoto wa kiume?
Inasemekana wanaume ni wazembe sana ikitokea wamependa kweli huwa wanakuwa mazombi zaidi,kuliko hata mwanamke anapokuwa amependa
 
Back
Top Bottom