Sivyo kama mnavyomfikiria Rais Dr. Magufuli

Nduli idd Amini alituvamia alipotangazia ulimwengu mzima at mto Kagera ndio mipaka yake...Nduli idd amini alituvamia alipotangazia ulimwengu mzima ati mto kagera ndio mpk wake......

miaka michache ijayo huu wimbo utarudi tena lakini utakuwa na maudhui tofauti. Mimi nipo kwenye holiday ya Valentine sijui wewe mwenzangu
 
Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.
Nia yake kuu ni kuanzisha miradi mikubwa hata kama wananchi watalazimika kukosa huduma za msingi. Kibaya zaidi haangalii kama miradi hiyo italeta faida ama laa, anachojali ni msifa.
 
Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.
Upendeleo wa wazi kwa Mh Makonda hata asiejua kusoma anajua hafu unaleta story za ajabu humu, nchi hii sitaacha kumkubali Mh Hayati Mwl Nyerere alijenga msingi wa nchi hii kila kitu,,, wengine wanakuja na kufanya watakavyo wakidhani wanaogopeka kumbe wanatembelea nyota ya mzee,,,,, mwambie afanye yote lakini adumishe mshikamano wa nchi ndio msingi wa amani na maendeleo popote pale duniani,,,, bila upendo na amani hizi flyover zinaweza bomolewa na bomu moja tu tena dogo,,, maghorofa hayo ni nusu saa tu hamna kitu hapo mjini,,,,,, siasa zipungue aangalie atuachie mshikamano wetu,,,,, sasa watu wameanza kutazamana kimakabila na yeye atafurahia tu ikulu anaona poa tu hafu unaleta sifa nyingiii,,,,
 
Ila kuna uchafu unaendelea kuratibiwa kuipaka matope awam yake
I smell t
 
Inatumika nguvu nyingi sana kuonyesha huyu mtu ni mwema and so forth.
Ninachosikitika awamu hii ninashuhudia maneno ya Plato yakipata uhai...
Alijisemea "Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber"
 
Uliyoyaandika ni kweli kabisa JPM analalamikiwa kwa sababu ametubadirishia beat i mean TULIKUWA TUNACHEZA R N B kaja kutuwekea Beat la Rege so tunafalakana huku mtaani mpaka tulizoee beat alilotuwekea tayari jasho litakuwa limeshalowesha hadi chupi zetu.
 
NI MTU AMBAYE AMESUKUMIZWA HAJUI AFANYE NINI ANAPANIC UNADHANI ANAWEZA KULALA KWELI MUDA PEKEE ANAOINJOY LABDA NI KUANGALIA SHILAWADU NA KUMSIKILIZA KIJANA WAKE AKIVURUMUSHA WATU MPAKA WANAZIMIA
 
Upendeleo wa wazi kwa Mh Makonda hata asiejua kusoma anajua hafu unaleta story za ajabu humu, nchi hii sitaacha kumkubali Mh Hayati Mwl Nyerere alijenga msingi wa nchi hii kila kitu,,, wengine wanakuja na kufanya watakavyo wakidhani wanaogopeka kumbe wanatembelea nyota ya mzee,,,,, mwambie afanye yote lakini adumishe mshikamano wa nchi ndio msingi wa amani na maendeleo popote pale duniani,,,, bila upendo na amani hizi flyover zinaweza bomolewa na bomu moja tu tena dogo,,, maghorofa hayo ni nusu saa tu hamna kitu hapo mjini,,,,,, siasa zipungue aangalie atuachie mshikamano wetu,,,,, sasa watu wameanza kutazamana kimakabila na yeye atafurahia tu ikulu anaona poa tu hafu unaleta sifa nyingiii,,,,
Kweli lami ikiganda itaitaji joto jingi kuyeyuka
 
Ni raisi pekee aliyesababisha watumishi wanaishi maisha magumu,na yeye kuwaita wapiga dili,pia ni raisi pekee anayetetea wanyonge ambao hata yeye mwenyewe hawajui na hajawahi kuwaona!!!
 
Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.

Ok hope kuna nafasi ya uteuzi soon usikate tamaa.Tunaoishi maisha ya kawaida tunamjua kwamba ni RAIS mwenye CHUKI,VISASI,UBAGUZI,KUJIONA,UPENDELEO na UKABILA hata umsifu vipi ndivyo tumuonavyo
 
Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.
Raisi wangu ni Tundu Lissu, huyo ni wenu ambaye in my opinion his evolution to true human being (Homo sapiens) is not completed yet.
 
Roho ya kwa nini.......mbaya in mzigo MKUBWA.
 
Back
Top Bottom