Sivyo kama mnavyomfikiria Rais Dr. Magufuli

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.
 
Kwani wewe uliyeandika ndiye! Unauhakika gani kama hayo unayoyafikiri wewe ndiyo sahihi. Alipouliza kwa sauti ya chini wengine wako wapi ...... hilo pia lilikuwa jambo la maendeleo?
 
Raisi wetu yupo sawa ila tu kuna kitu cha kifalsafa kidogo ,,, kuna mtu anaenenda katika destiny yake na kwa kweli amefika ,,, na mwingine anaenenda katika destiny yake on purpose,, sasa hao ni watu wawili tofauti ,,,,,,,, unaweza ukapangilia kweli kweli lakini ile hatma ya kusudi ikawa zero......... kuna mpango ambao raisi anao na kuna mpango ambao watanzania wanao na wanataka ..... hapo ndiyo unakuta malaumu ni mengi mno......
 
Tutamkumbuka siku moja huyu Mzee....He is the one of the best PRESIDENT in this WORLD......Despite ya mapungufu yake ya hapa na hapa...LAKINI ANA MAZURI MENGI MNOO......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom