Sivyo kama mnavyomfikiria Rais Dr. Magufuli

Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.
Uteuzi umekwisha
 
NAMPENDA RAISI WANGU MAGUFURI,LAKINI NAICHUKIA SSM SAANA. Nisaidie nifanyeje?
 
Wananchi WA kimala wabomolewe but wa mwanza wapiga kula WG wasibomolewe magari yao wapate kwenda kazin
 
Tangu aingie madarakani.UMOJA UPENDO NA MSHIKAMANO UMEIMARIKA SANA,BIG UP
 
Khaaaaaaa kweli watanzania sisi lazima tutakuwa tumelogwa ama tuna mtindio sio bure kabisa...mapambio ya nini lakin wakati vitu Vipo clearly Lol....
 
True. You have Said it all. Mwenye hoja tofauti. Narudi HOja. Mi nipp kujibu swali na Uzi huu. HOJA. taarabu Hapana. Matusi Hapana. Viva JPM.
 
Ukweli ni kwamba kuna mambo anapaswa kupongezwa hasa ukusanyaji wa kodi na watumishi wa umma kuheshimu kazi na mali za umma. ILA sasa suala la usalama wa raia, kitu kinaitwa demokrasia na kuheshimu katiba na sheria za nchi bado sana, yaani hapa ingekuwa mtihani nachora sifuri kubwa yenye masikio kama ya punda.

Kinadharia ni kiongozi mzuri sana na mwenye nia njema na taifa hili, ila sasa kipragmatiki aisee ukicheza unalimwa ngumi.
 
You are "The walking dead " with a winking shithole. Dunia yote inatamani ingetawaliwa na MAGUFULI halafu wewe nyumbu mtoto wa UFIPA unachonga humu
Kwa hiyo ewe zombie unazibishia ripoti za CAG? Kwani ni uongo kuwa Magufuli ni mpiga deals? Kwanini kaficha lile li ferry libovu JWTZ?

Ati dunia yote: unatumia kilevi gani nami nitumie? Maana I wish I could be such delusional, ili niondoke kwenye ukweli wa miseries zinazoletwa na serikali ya CCM!
 
Badala ya kumsifu Mwenyezi Mungu unakaa kumsifu binadamu asiyejua kesho yake ipoje.
 
Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ni rais wa watanzania wote. Anatabia yakusifia mazuri nakuponda maovu. Hana macho yahuruma kumkemea muovu.

Taasisi yake ya Urais haina urafiki na mtu au kiongoze awaye yeyete ktk maongozi yake. Tofauti na serikal zimepita Mh Magufuli ni kiongozi anapenda kusoma data na kupata maelekezo toka idara nyeti zimemzunguka nakuchukua maamuzi pale yanaitajika.

Mkuu wetu hapendi viporo yani boss nitamaliza kesho na kesho usimalize kweli utajuta.

Rais wetu anapenda kama ni project basi uwendane na project plan schedule na kuliko uchelewe basi umalize before due date. Hapo utaona jino lake la mwisho kwa furaha.

Hapendi much know au mambo ya mkato bila fuwata taratibu. Ukiwa much know baba umeliwa kichwa anapenda msikilizaji,mawazo na sio kukosoa bila majibu. Kiufupi ni kiongoz anapenda genius people na kiukweli ukiwa na akili Mh Rais utampenda.

Usiende ofisini kwake kwa umbea kama data anazo mpaka zakwako mwenyewe. Unataka uongee nae ongea habari za maendeleo ama mpe ubuyu wa maendeleo hakika anaweza kukupigia sim kesho yake.

Anapenda dam ya vijana japo wachache wanamletea shida ndani ya system japo system inamsaidia sana kuwatuliza.

Umewahi kujiuliza why nape na bashe wanahaha kumkosoa?

Hehehe jibu rahisi sana amewazidi akili. Vijana hawa Mungu atawasamehe maana ni huruma. Ila yeye kama unamfuwatilia kunasiku aliwasikia Bungeni wanachonga sana akamwambia waziri waambie waniletee mwekezaji nitawapa deal Uliwasikia tena... Basi huyo ndio Magufuli.

Je, analala?
Sina uwakika uwenda ni mmoja wa marais duniani hapati usingiz kwa ajili ya watanzania.

Nia yake kuu sana nikumfikishia pesa mwananchi yule fukara kabisa kwakweli naweza kulia anawapenda sana watanzania na anumia sana kuona watanzania ni masikini na mijitu michache ilio vimbiwa inawanyonya zaid ya 40m tanzanian.

Huyu ndie Rais Dr Magufuli sijamaliza.
Nenda kwa pole pole akakupe buku saba naona jasho limekutoka kuandika hadithi za ngano
 
Back
Top Bottom