Sivutiwi na mwanamke hata kidogo.

Sivutiwi na mwanamke hata kidogo.

Bia imefloti

Kuna vitu mwanaume ukiandika au kusema ni aibu labda uwe na changamoto ya kihisia

From no where huvutiwi na wanawake hata km kweli jisitiri km mwenzio alivyo sitiriwa akashindwa
Mwenzangu ameshindwa, mie kila siku huwa nasema, uhalisia wako huwezi kuukimbia hata iweje.

Sasa nikuambie kuna mchungaji kitamkuta kitu wee subiri, namuangalia tu.
😂😂😂😂
 
Em niambie location au ni maarufu unipe code na location jumapili nikapokee miujiza 😅🤣
 
Sion faida yake katika maisha yangu.navutiwa na pombe tuh yaan nakunywa hadi nasahau matatizo yangu.
Mkuu una tatizo linalohitaji matibabu, yakupasa ukamuone dr.

Kwa ubinafsi tulioumbiwa binadamu, hakuna mwanaume anayempenda mwanamke kwa 'ridhaa' yake, bali hulazimishwa kutokana na mhemko unaozalishwa na hormone ya kiume inayoitwa 'testosterone'.

Hormone hiyo ikipungua, ndiyo hayo madhara ambayo mwanaume huyapata kwa huanza 'kurudiwa na ufahamu' na kuanza kuwachukia wanawake pamoja na ngono kama ilivyoanza kwako kwa kuliona tendo la ngono ni dhambi mbaya na uchafu mkubwa sana.

Unajiona upo sawa, lakini kwa kanuni ni kwamba: 'sawa isiyo sawa ndiyo sawa na sawa iliyo sawa, kamwe huwa siyo sawa'.

Wawezaje kula raha bila kuwa na mwanamke pembeni mwako?

Jitafakari na uchukue hatua ya kimatibabu ASP kwa sababu wewe ni mgonjwa.
 
Acha kufanya km ngono ni hitaji la msingi, ni mindset yako tu. Wala hakuna ukweli au uhalisia wa hicho ulicho kiandika hapa.
 
Mkuu umenisoma 'randomly' bila kunielewa nilichomaanisha.

Ngono si hitaji la msingi ndiyo.

Lakini kupenda/kutamani, siyo jambo la hiyari.

Nini kinasababisha, ndiyo unisome vizuri sasa ili unielewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom