Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,993
- 16,245
Mmmh weee unamchora tuu faili lake unalo mambo ya mjini kati hayoo.Kitakukuta kitu wee nakuambiaa, 😂😂😂
Mchungaji analiwa na muumini wake, nachokaa kabisa mie.
Ngoja yachachuke tule ubuyu.