Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,375
- 869,708
Usije kuwa unakula ugali kwa picha ya samaki (Punyet*). Kama haupo huko basi unashida kubwa sana.
Zigo kama hili halikuvutii???Una shida wwView attachment 3686946
Wabilah taufiq😍
Wabilah taufiq😍
🤔🤔🤔🤔Bia imefloti
Kuna vitu mwanaume ukiandika au kusema ni aibu labda uwe na changamoto ya kihisia
From no where huvutiwi na wanawake hata km kweli jisitiri km mwenzio alivyo sitiriwa akashindwa
Hata ukiiona mnara haushtuki, hongera.Sion faida yake katika maisha yangu.navutiwa na pombe tuh yaan nakunywa hadi nasahau matatizo yangu.
Umewahi kula kitimoto ya kuchoma?Bora hata wewe unajua unataka nini. Wengine wanajijua ni walevi wa kulala bar kila siku na bado wanaforce kuoa🙆♀️
Eeeh mamangu habari yako.... Jane Binti wa kimachame kasimamisha TAIFA ni wiki sasa🤔🤔🤔🤔
Nzuri kipenzi, i hope uko poa.Eeeh mamangu habari yako.... Jane Binti wa kimachame kasimamisha TAIFA ni wiki sasa
Fresh kabisa sis, tunashukuruNzuri kipenzi, i hope uko poa.
Comment yako imenitishaaaa, ni kweli nchi imesimama 🥹
Amina inshallah!Fresh kabisa sis, tunashukuru
Nchi imesimama aseeh.... Inahuzunisha mno..... Watu wanateseka kwenye ndoa ukweli tu usemwe ni changamoto sana......
Mungu awape subra watoto, familia zote mbili na hata baba yao pia....
Tusubiri upande wa sheria nao tuone.... Tunajifunza kwenye uimara ama udhaifu wa wenzetu.Amina inshallah!
Hunipendi mimi au hupendi ukweli 😂Skupendi tena ☹️
Hebu jaribuni, maana huwa mna kisingizio cha kila jamboHuyu mdau kumtetea ni ngumuView attachment 3686943