Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,759
Sivutiw na wanawake hata kidogo wala sina hisia na mapenzi.mimi nipo kivyangu najipenda kivyangu. mwanamke ata akiwa uchi sina hisia npo tu kawaida.nashukuru sana kwa kuzaliwa bila hisia.ntaepuka hasara.