kazi ya sanaa ni nini? utapata jibu hapo.Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
Wanataka kutuonyesha wanavoishi maisha yao ya hali ya juuKuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
kazi ya sanaa ni nini? utapata jibu hapo.
Usiangalie tena.
Pia ni sehemu ya EATV kujiingizia kipato na kuiwezesha serikali kukusanya kodi maana washabiki wao wataangalia hivyo wadhamini wa kipiti wanapata mileage ya kutoshaWanataka kutuonyesha wanavoishi maisha yao ya hali ya juu
una kichwa kizito sana!Vipindi vile si vya kisanaa kabisa.
siangalii tena.
kazi ya sanaa ni nini? utapata jibu hapo.
una kichwa kizito sana!
East Africa Television Is an entertainment Tv Channel so Hivyo ulivyovi mention ni part of Entertainment!
kama vipi LIKE Niku ADD
Vipindi vile si vya kisanaa kabisa
Acha ushamba vile vipindi vya KIM KARDASHIAN kule AMERICA je
Wanataka kutuonyesha wanavoishi maisha yao ya hali ya juu