Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Ukimpigia wewe na familia yako inatoshaaa...huyu mtu anavotuchambaga Mimi ashinde asisihinde hana msaada na Mimi hvyo mtajua wenyewe
 
Sasa Leo insta wamepost clip wapo huko yard wanakagua RR ya kununua, comments za watu sasa mie mbavu sina mweeeeh.
Kweli watu wamevurugwa wallah,

Domo kinachomponza ni misifa's camp na kiki zisizo na kichwa wala miguu ,domo angelay low angekuwa mbali sana,haoni wenzake kina Ay,Fa,Mpoki kama hawapo vile kumbe wanafanya mambo ya hatari,yeye hata akinunua sox anapost instagram.
 
Na hizi kelele zenu ndo zinazomfanya aendelee kuwa on peak,si unaona jamaa yenu hazungumziwi kapotea kabisa?😂
 
Mimi huwa sina timu hata moja ,hata huyo jamaa unayemzungumzia nami namuona ni garasa tu kama domo....Domo ajikite kufanya muziki mambo ya mipasho insta ya kisiasa aachane nayo.
 
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.

Hivi unajiuliza hawa CHADEMA hizi kampeni zina mkono wa chama chao au ni kikundi cha watu tu wa CHADEMA wameamua kukichafua hicho chama.

Nchi hii ipo huru kuwa mpenzi wa chama chochote, iweje mtu akiwa mpenzi wa CCM aonekane ni msaliti?

Diamond ameanzisha Wasafi Radio na Wasafi TV. Kupitia hivyo vyombo vya habari ametoa ajira nyingi kwa watanzania. Ni mwanamuziki gani mwingine wa Tanzania ambaye ameweza kuanzisha vitu vinavyoajiri watu wengi kiasi hicho?

Hebu tuache chuki za kijinga.

Una fahamu kitu kimoja ukiwa msanii/au mtu mwenye fani yoyote ile ambayo unategemea wapenzi(wananchi)kuku support hasa kwa nchi za kiafrika jitahidi kujiepusha na siasa, mbaya zaidi uwe upande wa watawala, kwenye mambo yako utakuwa salama ila kwenye mambo ambayo yanahitaji support kutoka kwa wananchi, mala nyingi utakuwa unakwama!! Kwani diamond hasa kipindi cha awamu ya tano alijibainisha kuwa ni team magu, na dhuruma zote ilizokuwa zinafanyika hakuonekana kuguswa kwa namna moja ama nyingine!!mfano mzuri waangalie wasanii wa NIGERIA, kipindi kile polisi wanaua raiawalisimama upande wa wananchi !!leo hata kumpigia kura ni rahisi!!kwenye mateso uwe upande wa watesi kwenye kutaka sifa/heshima hao wateswaji ndii wakusaidie?!!HAPANA!!AKALE ALIKOPELEKA MBOGA.
 
Hiki ni kichaka cha kujificha sema wazi tu kuwa hamumpendi mbona inaruhusiwa na hakuna atakaekuuliza. Msanii Kujiunga na kusapoti sera za chama fulani sio kosa hata wasanii wa Marekani wanafanya. Kuweni wawazi tu.
 
Ndio kawaida ya watanzania kumchukia mtu aliyefanikiwa ukiuliza sababu za kumchukia hana majibu eti anamchukia tu.

Kwaiyo chuki dhidi ya Diamond azikuanza leo, hao uliowataja ni mtiririko ule ule wa Watanzania kuchukia mtu mwenye mafanikio bila sababu ila kwenye mgongo wa chama na kiunarakati.

Dogo ameshafanikiwa tayari
 
Kigogo anajificha nyuma ya keyboard hata sura yake hataki kuionesha na hao wakina Maria hata mtaani hawaonekani lakini wana ujasiri wa kusema Diamond hakusimama na watanzania, Ni unafiki uliopitiliza.
 
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.

Hivi unajiuliza hawa CHADEMA hizi kampeni zina mkono wa chama chao au ni kikundi cha watu tu wa CHADEMA wameamua kukichafua hicho chama.

Nchi hii ipo huru kuwa mpenzi wa chama chochote, iweje mtu akiwa mpenzi wa CCM aonekane ni msaliti?

Diamond ameanzisha Wasafi Radio na Wasafi TV. Kupitia hivyo vyombo vya habari ametoa ajira nyingi kwa watanzania. Ni mwanamuziki gani mwingine wa Tanzania ambaye ameweza kuanzisha vitu vinavyoajiri watu wengi kiasi hicho?

Hebu tuache chuki za kijinga.

Una fahamu kitu kimoja ukiwa msanii/au mtu mwenye fani yoyote ile ambayo unategemea wapenzi(wananchi)kuku support hasa kwa nchi za kiafrika jitahidi kujiepusha na siasa, mbaya zaidi uwe upande wa watawala, kwenye mambo yako utakuwa salama ila kwenye mambo ambayo yanahitaji support kutoka kwa wananchi, mala nyingi utakuwa unakwama!! Kwani diamond hasa kipindi cha awamu ya tano alijibainisha kuwa ni team magu, na dhuruma zote ilizokuwa zinafanyika hakuonekana kuguswa kwa namna moja ama nyingine!!mfano mzuri waangalie wasanii wa NIGERIA, kipindi kile polisi wanaua raiawalisimama upande wa wananchi !!leo hata kumpigia kura ni rahisi!!kwenye mateso uwe upande wa watesi kwenye kutaka sifa/heshima hao wateswaji ndii wakusaidie?!!HAPANA!!AKALE ALIKOPELEKA MBOGA.
Hiki ni kichaka cha kujificha sema wazi tu kuwa hamumpendi mbona inaruhusiwa na hakuna atakaekuuliza. Msanii Kujiunga na kusapoti sera za chama fulani sio kosa hata wasanii wa Marekani wanafanya. Kuweni wawazi tu.
Mimi kwa umri wangu huo mziki wao cwezi kuupenda hata siku moja!na hata nikimchukia/nikimpenda nitampunguzia nini au kumuongezea nini?!ndiyo hivo sasa ukiwa ccm, na siasa zetu zilizoasisiwa na jiwe za chuki ikifika kipindi hiki hao hao (ccm) ndio wanatakiwa kum support si ndio mwenzao?!!na kitu kingine kibaya ni hayo cjui matimu yao, unaposhindana kimataifa msaada mkubwa ni wanachi wenzako, sasa leo unawatukana team fulani kesho hao hao uje utegemee kukuunga mkono?
 
Una fahamu kitu kimoja ukiwa msanii/au mtu mwenye fani yoyote ile ambayo unategemea wapenzi(wananchi)kuku support hasa kwa nchi za kiafrika jitahidi kujiepusha na siasa, mbaya zaidi uwe upande wa watawala, kwenye mambo yako utakuwa salama ila kwenye mambo ambayo yanahitaji support kutoka kwa wananchi, mala nyingi utakuwa unakwama!! Kwani diamond hasa kipindi cha awamu ya tano alijibainisha kuwa ni team magu, na dhuruma zote ilizokuwa zinafanyika hakuonekana kuguswa kwa namna moja ama nyingine!!mfano mzuri waangalie wasanii wa NIGERIA, kipindi kile polisi wanaua raiawalisimama upande wa wananchi !!leo hata kumpigia kura ni rahisi!!kwenye mateso uwe upande wa watesi kwenye kutaka sifa/heshima hao wateswaji ndii wakusaidie?!!HAPANA!!AKALE ALIKOPELEKA MBOGA.

Mimi kwa umri wangu huo mziki wao cwezi kuupenda hata siku moja!na hata nikimchukia/nikimpenda nitampunguzia nini au kumuongezea nini?!ndiyo hivo sasa ukiwa ccm, na siasa zetu zilizoasisiwa na jiwe za chuki ikifika kipindi hiki hao hao (ccm) ndio wanatakiwa kum support si ndio mwenzao?!!na kitu kingine kibaya ni hayo cjui matimu yao, unaposhindana kimataifa msaada mkubwa ni wanachi wenzako, sasa leo unawatukana team fulani kesho hao hao uje utegemee kukuunga mkono?
Ndo maana nilikwambia kuwa muwazi acha kujificha kwa wananchi. Binafsi japo Magu amefariki lakini bado simpendi sasa ukiniambia niache kumkubali Diamond kwa kuwa alimsapoti Magufuli kwangu naona ni upumbavu kwa sababu Diamond hana nguvu yoyote ya kubadilisha mawazo yangu kisiasa.

Kuna mdada humu(Numbisa) ni muwazi na nimemuona mara nyingi akimponda Diamond hajifichi nyuma ya siasa za maji taka. Wengi wanaomponda leo walikuwa wanamchukia tangu zamani ni kwamba tu mmetafuta sababu na kuficha chuki zenu nyuma yake.

Sio dhambi kusema humpendi mzee, haina ulazima kuja na sababu za kitoto za siasa wakati wanaotoa hizo sababu wenyewe ni keyboard warriors tu.

Nikuulize wewe pamoja na wakina Kigogo na Maria mlifanya nini kuwasupport watanzania walioumizwa? hata Kigogo mwenyewe anaendesha hii kampeni alikuwa anaongelea gizani kipindi cha Magufuli na bado yupo gizani.Watu wa aina yenu huwa ni wadhaifu sana kwenye maisha halisia ila kwenye compyuta mnageuka miungu watu.
 
Richard spencer Alafu chakushangaa hawajawahi kusamsapoti kijana kwenye kununua kazi zake za mziki zaidi ya kuburn nyimbo zake na kudownload bure kwa bekaboy sasa huo uwalali wa kusema simshabikii kwa sababu ya kuisifia CCM wanaupata wapi?
 
Inashangaza sana kwa kweli. Diamond Platnumz ni serial winner na hii anachukua.
 
Richard spencer Alafu chakushangaa hawajawahi kusamsapoti kijana kwenye kununua kazi zake za mziki zaidi ya kuburn nyimbo zake na kudownload bure kwa bekaboy sasa huo uwalali wa kusema simshabikii kwa sababu ya kuisifia CCM wanaupata wapi?
Licha ya mapungufu yote aliyonayo, lakini hana uwezo wa kumshinda jamaa!!sio inshu ya uzalendo, HAMASA HAIWEZI KUSHINDA UWEZO SIKU ZOTE.
 
Ukimpigia wewe na familia yako inatoshaaa...huyu mtu anavotuchambaga Mimi ashinde asisihinde hana msaada na Mimi hvyo mtajua wenyewe
Tatizo sio chama chake Ila shida ni kwamba anasahau yeye ni mfanyabiashara, ajifunze kwa wenzie hawajibu watu kwa kejeli au kujiweka mbele kana kwamba yeye ni kada.

Awe na akili, anaweza kushiriki siasa zao kama vile amelipwa kutumbuiza Ila sio kuonyesha kwamba anafanya bure sababu yeye ni kada hiyo inampotezea sana mileage wakati kama huu ambapo anahitaji sana kupigiwa kura na watanzania wote.

Mchumia majanga hula na wa kwao.
 
Wapi ambapo diamond alishiriki jambo lolote la CCM kwa kujitolewa bila kulipwa?
 
Back
Top Bottom