Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,178
- 29,886
Naunga mkono hoja Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Namwaomba Mama Samia aendelee kuwa mvumilivu, kuteleza si kuanguka.
Lakini wanaomtukana mama Samia wanakosea sana, na ni watu wa kuonywa na kuhurumiwa kwa kukosa maadili yapasayo mtu.
Haisaidii mkuu, unajiumbua tabia yako tu!Tutamtukana hata ambao hatujawahi mtukana kama hatavunja mkataba wa Kimangungo.
Si kutukana tu atakimbia nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri makamu wa rais kaonya tu,kwamba limemponyoka!?..Kuna dawa huko inachemka,madomokaya mtajikuta ng'ombe na manyaparaTutamtukana hata ambao hatujawahi mtukana kama hatavunja mkataba wa Kimangungo.
Si kutukana tu atakimbia nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemtukanaje?Tabia ya binadamu huwa ni ya ajabu.
Ukimuokoa mtu toka mtoni, halafu kule mbele ya safari mtu huyo akipata shida basi bado anaweza kukutusi, akisahau kabisa kuwa nafasi hiyo ya kutusi anaitumia vibaya maana asingefanya hivyo, kama asngevuka mto.
Nabii Musa aliwatoa utumwani wana wa Israel na kuwavusha hadi bahari ya shamu.
Bado walipofika Jangwani, walipopata njaa kali, karibu wamsulubu Nabii Musa kuwa walikuwa wanakula na kushiba utumwani, na ni kwa nini Nabii amewaleta jangwani kufa na njaa.
Hiyo ndio tabia ya binadamu, hakumbuki fadhila zako ukiteleza.
Namwaomba Mama Samia aendelee kuwa mvumilivu, kuteleza si kuanguka.
Lakini wanaomtukana mama Samia wanakosea sana, na ni watu wa kuonywa na kuhurumiwa kwa kukosa maadili yapasayo mtu.
Nimepita kwa rafiki yangu mmoja nikakuta hiki kitabu, kimenifunua mengi!
View attachment 2705150
Kwani nani alimweka Mbowe ndani? Licha ya Nyerere kupambania uhuru lakini alipingwa na kubagazwa kama kawaida sembuse Samia! Hivi Samia angebagazwa kama alivyofanywa Magufuli ingekuwaje?Ni kweli kabisa
Mathayo 25:35-40
Yesu akawaambia nalikuwa na njaa mkanipa chakula, nalikuwa hospital mkaja kunitazama nalikuwa gerezani mkaja kunifariji
Wakamuuliza lini tuliyatenda hayo?
Yesu akawaambia, kwa Jinsi mlivyowatendea hawa ( Lisu na Mbowe) mlinitendea mimi.
Ikumbukwe Rais Samia na Mzee Mwinyi Ruksa ndio walisafiri hadi Nairobi kumfariji Tundu Lisu
Kadhalika Rais Samia ndio kamtoa Mbowe Magereza
Tumsifu Yesu Kristo!
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Nani kamtukana rais? Matusi gani ambayo rais ametukanwa? Ametukaniwa wapi?Tabia ya binadamu huwa ni ya ajabu.
Ukimuokoa mtu toka mtoni, halafu kule mbele ya safari mtu huyo akipata shida basi bado anaweza kukutusi, akisahau kabisa kuwa nafasi hiyo ya kutusi anaitumia vibaya maana asingefanya hivyo, kama asngevuka mto.
Nabii Musa aliwatoa utumwani wana wa Israel na kuwavusha hadi bahari ya shamu.
Bado walipofika Jangwani, walipopata njaa kali, karibu wamsulubu Nabii Musa kuwa walikuwa wanakula na kushiba utumwani, na ni kwa nini Nabii amewaleta jangwani kufa na njaa.
Hiyo ndio tabia ya binadamu, hakumbuki fadhila zako ukiteleza.
Namwaomba Mama Samia aendelee kuwa mvumilivu, kuteleza si kuanguka.
Lakini wanaomtukana mama Samia wanakosea sana, na ni watu wa kuonywa na kuhurumiwa kwa kukosa maadili yapasayo mtu.
Nimepita kwa rafiki yangu mmoja nikakuta hiki kitabu, kimenifunua mengi!
View attachment 2705150
Viongozi wanaoingia madarakani kwa kunajisi chaguzi za nchi ni zaidi ya matusi. Tunaposema chaguzi za nchi ziheshimiwe ni pamoja na kuwa na haki ya kuheshimiwa. Sio unaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima, kisha utake heshima.Wanaomtukana washughulikiwe
NAOMBA KUJULISHWA HAYO MATUSI ALIYOTUKANWA RAIS, MAANA NIMEJARUBU KUANGALIA, BADO SIJAPATA.Tabia ya binadamu huwa ni ya ajabu.
Ukimuokoa mtu toka mtoni, halafu kule mbele ya safari mtu huyo akipata shida basi bado anaweza kukutusi, akisahau kabisa kuwa nafasi hiyo ya kutusi anaitumia vibaya maana asingefanya hivyo, kama asngevuka mto.
Nabii Musa aliwatoa utumwani wana wa Israel na kuwavusha hadi bahari ya shamu.
Bado walipofika Jangwani, walipopata njaa kali, karibu wamsulubu Nabii Musa kuwa walikuwa wanakula na kushiba utumwani, na ni kwa nini Nabii amewaleta jangwani kufa na njaa.
Hiyo ndio tabia ya binadamu, hakumbuki fadhila zako ukiteleza.
Namwaomba Mama Samia aendelee kuwa mvumilivu, kuteleza si kuanguka.
Lakini wanaomtukana mama Samia wanakosea sana, na ni watu wa kuonywa na kuhurumiwa kwa kukosa maadili yapasayo mtu.
Nimepita kwa rafiki yangu mmoja nikakuta hiki kitabu, kimenifunua mengi!
View attachment 2705150
Staha kwa kiongozi ni kitu cha bure.NAOMBA KUJULISHWA HAYO MATUSI ALIYOTUKANWA RAIS, MAANA NIMEJARUBU KUANGALIA, BADO SIJAPATA.
Maneneo niliyopata ni:
Hakuna Rais amewahi kusaini mkataba wa ajabu
tukio la kijinga kuwahi kutokea.
“Rais wetu amefanya kitu cha kijinga hakuna aliyewahi kufanya kitu cha aina hii.
Hakuna Rais wa nchi hii, aliyewahi kujiingiza kijinga namna hii
huyu mama kapewa nini?”
Staha kwa kiongozi ni kitu cha bure.
Unaweza kutofautiana bila kuweka maneno yenye ukakasi kutamka hadharani.
Kutukana ni kosa mbele ya sheria hata kimaadili.Tabia ya binadamu huwa ni ya ajabu.