Siungi mkono ukatili lakini...

Mbna mlaji mzigo sijamuona mahakamani? Na kwann mlaji asemwi? Au mlaji hana hatia? Mshana jr nasubiri majibu hapa, make naona wadanganyika mmemshikilia tu aliyeliwa.
 
Inafika mahali watu wakubali kuwajibika kwa matendo yao.
 
Kwa Mungu ni baada ya kufa... Halafu toba na msamaha ni kwa kwa waumini na waamini kwenye imani za kidini... Tunahitaji jamii inayojitambua kabla ya kumtaja Mungu
Alichofanyiwa huyo binti (kama ni kweli kafanyiwa)ni funzo tosha kwa wengine wenye tabia kama zake.. Unadhani akitoka hapo atajibinua tena... Thubutuuu
 
Anavuna alichopanda...ume analyse vizuri ofcoz yule Dada ni sample tu ya wadada wengi tulionao huku mitaani..hata hivyo unafanyika ufirauni wa kutisha kila siku..ila huu kwa vile hatujaushuhudia tunakaa kimya..
 
Huenda ikawa kweli huko mahabusu amekutana na shughuli pevu, au kama anavyodai maumivu yametokana na kipimo... lakini mmmh kipimo gani huwa kinatumika mpaka kimemsababishia maumivu mpaka ashindwe kukaa???
[emoji23][emoji23]kipimo cha mkongo....
 
Mbna mlaji mzigo sijamuona mahakamani? Na kwann mlaji asemwi? Au mlaji hana hatia? Mshana jr nasubiri majibu hapa, make naona wadanganyika mmemshikilia tu aliyeliwa.
Anayekamatwa na kidhibiti ndio mwizi
 
Hili ni zao la kuangalia michezo/picha/soap za kiphilipino, america ya kusini na ughaibuni kwa ujumla TV station zeti ikiwemo na hiyo ya nchi ziko busy kurusha vipindi hivyo na ukitukuta sebuleni tunakenua minjino na mimacho huku watoto wetu wakiwa pembeni hasa kina mama. Picha zao huwa hazinogi wala kukamilika bila kuwa na character anayepromote ushoga! And the like.

Hatukujua kama tunapanda mbegu sasa ni dhahiri, refer kile kisa cha watoto wa shule na mwenge uko kilimanjaro.

Naunga mkono hoja huyu dada na wenzake wote ashughulikiwe ipasavyo. Japo sijapendezwa na hii style ya kuwang'amua
 
Wewe umejuaje kua kukaa kwake kwa kalio moja na kushindwa kukaa vizuri alikua anajifanyisha ili kupata sympathy za watu? unaweza kuthibitisha hilo? unaweza kuthibitisha kua hakuna jambo lililompata huko alipokua?

Sio lazima kila jambo basi uwe unakimbilie tu kulianzishia thd hata kama huna uhakika nalo,hii kesi iko mahalkamani na mtuhumiwa atahukumiwa kwa mujibu wa sheria acha kimbele mbele.
 
Owky kwahiyo mmiliki wa hile movie ni uyu aliyezibuliwa, mzibuaji aendelee kuzibua mitaro tu uko uswazi, hatuna shida nae[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaisemea hii mkuu?View attachment VID-20181103-WA0231.mp4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…