Siungi mkono Rais kutukanwa!

Bwege sio tusi Bali na hali ya mtu na mala zote huypo bwege huwa hajitambui
 
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
The Boss, sikutegemea wewe kuweka coment kama hii, labda utakuwa umesahau maana wewe ni bindamu. Ni kukumbushe tu kuwa siku zote cha kuigwa ni kitu chema tu, sio baya. Pamoja na maendeleo yao huko marekani, kuna vitu hatupaswi kuiga. Mfano kumtusi Rais, na viongozi wote wenye wa wafuasi wao. Marekani ushoga wameufungulia mlango na sasa uko ndani mwao, je nasi tuige sababu tu marekani wanafanya, siku zote jambo jema huigwa bila kujali linatoka nchi gani na baya hupingwa hata litoke marekani.
 
Kwa hali ya kawaida bwege siyo tusi ila tuone yeye Ali maanisha nini. Am sure yeye alimanisha iwe dharau = tusi
 
Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.

Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?

Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
unafanya ulinganisho usio na maana. wewe ni Rais wa Nchi? Rejea Katiba kuhusu wadhifa wa Rais; pia, tambua kwamba adhabu za makosa zimetajwa kisheria... ulitaka hakimu aende kinyume na sheria?> fikiri japo dakika 1 kabla ya kuja hapa..
 
For the first time I commend the words of Lema. He is definetly turning a leaf.
 
Je, ni haki pia Rais mstaafu kuwatukana Watanzania kwamba ni Wapumbavu na Malofa kisa tu hawaungi mkono chama chake na mgombea wake wa nafasi ya Urais? Mbona hakuchukuliwa hatua zozote hata kupewa onyo tu kwa kuwatukana Watanzania!?
Hapo ndipo kwenye UPUMBAVU wa sheria zetu azigusi wakubwa kamwe.
 
Reactions: BAK
Mantiki ya kumchangia huyu kijana inatokana na sheria katili (Draconian law) ya makosa ya mitandao iliyotumika kumhukumu. Vinginevyo aliyeitwa "bwege" angepaswa kufungua shauri la madai mahakamani.
 
Unayo haki ya kwenda kufungua case..
 
Magufuli sio mchezo, Lema kawa mpole, na bado mukihurumiwa watu munawaita dhaifu.
 
Kamanda Godbless Lema anammiss sana professor Jakaya Mrisho Kikwete
 
Mantiki ya kumchangia huyu kijana inatokana na sheria katili (Draconian law) ya makosa ya mitandao iliyotumika kumhukumu. Vinginevyo aliyeitwa "bwege" angepaswa kufungua shauri la madai mahakamani.
Mkuu hivi rais ahangaike na kijana mmoja wakati ana nchi yakuundesha zaidi kuna watu wakulinda usalam na heshima rais ndio kazi yao kufungua kesi kwa niaba ya rais au jamuhuri
 
Kamanda,rudini vitani muda unaenda,Tulia nini bana alikuwepo Mkwawa pale,kila zama na vitabu vyake,hii nafasi haitarudi tena
 
Vyocyote utakavyotafsiri ila ukweli ni kwamba Lema amepingana na akina Malisa na Nanyaro waliochangisha hizo fedha. Usiweke tafsiri yako isiyoeleweka
 
Tangu nmeanza kukufatilia post zako na hotuba zako leo ninadiriki kusema kuwa UMEPEVUKA kisiasa,Big up Mbunge wa Arusha
Ulichelewa sana kumfahamu sisi wana arusha tunajivunia kuwa na mbunge makini na msumari wenye kutu kwa ccm
 
Ni Kweli, Lakini Busara Ya Kumkanya Na Kumsaidia Ni Bora Zaidi Kuliko Kumwacha Akaozee Jela Wakati Inawezekana Kumrekebisha Mtaani.
Je, Huyo Hakuwa Mmoja Kati Ya Vijana Walioitwa Wapumbavu Kisa Wanataka Mabadiliko?
Kwa bongo mkubwa hakosolewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…