kidabibiaga
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 619
- 161
kwahiyo hata mashoga na wasagaji pia tuwaunge mkono maana wanaungwa mkono na rais wa marekan, david cameroonSiyo rais wa Marekani tu.
Hata wa Kenya tu hapo.
Achilia mbali akina David Cameron, Jacob Zuma, Francois Hollande na wengineo huko kwenye demokrasia kutushinda sisi.
kwahiyo hata mashoga na wasagaji pia tuwaunge mkono maana wanaungwa mkono na rais wa marekan, david cameroon
Watu humu kutokana na chuki za kisiasa wanafikiri Rais ni mtu wa kawaida tuu hivyo wanaweza sema lolote bila kujali! Ikiwa mtu kumtukana baba yake akabaki salama iweje kwa Rais wa nchi!Ukitukanwa mahakama ipo...
Ni jukumu lako kwenda mahakamani...
Akitukanwa Rais wapo wa kumwendea mahakamani sababu ni Rais...
Vyeo vinaenda na privileges ...huwezi kujilinganisha na mwenye cheo...ni kutafuta BP tu...
huko marekani wanaume kuoana ni ruksa, unashangaa ya raisi kutukanwa?? sio kila litalofanyika marekani na ss tuige!!Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
cheo ndo kinachozungumza, after all ushatoa tofauti tayar ww na wenzio mnatunza je we unatunzwa kama hvyo?Ndiyo, kwani ye ana damu ya hudhurungi?
After all, mi na walipa kodi wengine tunamlipa mshahara na kumtunza.
Maneno mangne ni rejesta hua yanatumika bila shida yoyote sema ishu kubwa ilo neno lilitumika eneo libido Lake kumsema mkuluKwani bwege maana yake ni nini wakuu, hata mimi siungi mkono matusi, na kwa humu JF ukitukana huchelewi kupata ban
cheo ndo kinachozungumza, after all ushatoa tofauti tayar ww na wenzio mnatunza je we unatunzwa kama hvyo?
nakushauri ili kushindana zaidi na rais akipita na magari yake na wewe ingia barabarani na gari usisubiri msafara wake uishe, maana unaleta ubishi wa kijinga na unaputozea muda tuKwani rais yeye ni breed tofauti na sisi watu wengine?
Hanyi huyo rais wenu? Hapumui? Hali chakula? Hanuki mdomo asubuhi akiamka? Haogi?
kwa kiasi fulani u see, hujamfikia rais so huwez jifananisha nae, na kwa akili zako unahisi hiyo kodi yako anakula rais tu? hao wabunge wako wanalipwa na nn? lowasa wenu mpaka leo anakula kodi yako,Natunzwa? Kwa kiasi fulani ndivyo inavyopaswa kupitia huduma za jamii lakini li nchi lenyewe limejaa mamburula. Hamna hata anayejua haki zake. Ukihoji kuhusu haki flani flani wewe ndo unaanza kuhojiwa!
Mijitu inalipa kodi na kodi zenyewe zinaishia kuliwa na viongozi tu.
Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Hoja ya Mh. Lema imesimamia kwenye sentensi hiyo ya mwisho.. Lema haungi mkono Rais kutukanwa kitu ambacho waungwana wengi tunaona ni sahihi lakini pia adhabu aliyopewa huyo dogo ni kubwa sana.. Angeadhibiwa tu kibusara kwa kupangiwa kusafisha labda kituo cha polisi kwa wiki moja au wiki kadhaa ingekuwa vyema kuliko kumpiga faini ya million 8... Anyway, serikali inatafuta pesa kwa njia yeyote awamu hii.."
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara "
Godbless Lema (Mp)
katuni ngapi zimemchora magu?nadhani hujui kazi ya sanaa, huyo katukana, hapo mtaani tu mtu amtukane mzee wako huwezi kukubali, acha ujinga wakoUmeona eeh...
kweli kabisa mkuu. sisi tunatamaduni zetu na taratibu zetu tujiamini nazo marekani ndio niniKama unaonavema, kutukana kwa madai raisi wa marekani anatukanwa hamia huko Tanzania Hatuna utamaduni huo