gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Bifu la fisadi Chenge na mnafiki Sitta limekwisha?
"Uspika"
Mzee huyu kwanza analaana za watu wa Urambo,hapa nilipo sasa nimelala gesti moja ipo kama mita 100 hivi kutoka nyumbani kwa sita,yeye mwenyewe ndo ana nyumba dizain kama ilitakiwa ijengwe ghorofa ila hakupanda,Urambo watu wanakunywa maji ya kisima,na nikasikia kuwa kuna internal conflicts kati yake na mkewe,wanagombea nani agombee ubunge!tehteh;mzee wetu tunakuheshimu sana,rudi kwenu Urambo,japo mgawane marupurupu ya BMK
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

Kweli we mkuu nawe umetumwa...kule kwishney juma juma dede!! Akuna mtu kule,labda kwa mbali naona mzee wa data aka nyata, magufuri....kijana anaweza japo haungwi mkono na wanachama wenziekiongozi wa bora sasa atatoka wapi; bora lowassa tu ;;; hana kashfa
Kweli we mkuu nawe umetumwa...kule kwishney juma juma dede!! Akuna mtu kule,labda kwa mbali naona mzee wa data aka nyata, magufuri....kijana anaweza japo haungwi mkono na wanachama wenzie
Hilo libaga (pombe) amelikoroga, ajiandae kulinywa. Liwe tamu au chungu laizima atalimeza tuKwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.
Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.
"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.
Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.
Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.
Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.
Kwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.
Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.
"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.
Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.
Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.
Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.
ni kweli mkuu kila MTU anayemzungumzia sita lazima aseme kauli hii
"NIlikuwa namkubali sitta lakini kwa hili amesusha hadhi yake"
Liishe wapi,mtemi Chenge ndio kammaliza kisayansi,kwisha habari yake Mzee wa viwango duniBifu la fisadi Chenge na mnafiki Sitta limekwisha?
"Uspika"