Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,370
- 234
mizee kama hiii ambayo imeshakuwa kama mibwege kwenye akili zao si iwe inaambiwa ifunge madomo yao??maana kila wakiyafungua mabakuli yao..yanatoa pumba juu ya pumba!!?hawaoni aibuu??
hivi ni kuwa huwa hawashauriani ama kila mtu nafsi yake inamsuta so siku akiamka nafsi imemsuta sana anajikuta tuu karopoka hili mara lile??na bado mafisadi wote mwaka huu watapagawa