Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Watanzania penye ukweli jamani tuseme ukweli hivi bila sitta kuruhusu kamati ya mwakyembe hao leo mnao wasifia akina zitto na huyo babu yenu slaa wangejulikana kwa watanzania? Sitta pamoja na slaa kusema kwamba ni miongoni mwa viongo wa ccj hakuna ukweli wowote ule hivyo basi kiongozi ambaye anatakiwa na watanzania ni kama SAMWEL SITTA kuacha unafiki.

Labda wewe ni division five, ila Dr. slaa kilichombeba kisiasa ni michango yake yakinifu bungeni na kuwataja hadharani mafisadi.
 
Kwa hii nchi ilivyo kwa sasa wengi wanafaa kuwa na ofisi hapo Magogoni........
 
Namuunga mkono 100% kama hapendi ufisadi, Ni vizuri sasa kuna watu hawajui wanachoandika, S,Sita Ni shujaa na anawezaaaa , Tumezoe kuibiwa rasilimali ndio tukubali wabaya. Nchi iongozwe kwa upanga
 
Old, hypocrite with questionable integrity fit for retirement and never a high office
 
Old, hypocrite with questionable integrity fit for retirement and never for presidency. He can't even stand against ill EL in any stage at any time
 
Hata siku moja jk hawez kuwa musa(moses) kamwe..! Musa alikuwa anamcha MUNGU wa mbinguni na sio miungu... So Mungu hadhihakiwi

Ndiyo hapo mkuu,sijui nani aliwadanganya kuwa MUNGU anajihusisha na siasa za kiuwizi za wanadamu hizi. Mamvi akipewa nchi hii akili yake hamna tofauti na mwigulu,anaweza kuuwa wote wale waliyoweza kumuumbua kwa kumwambia ukweli juu ya kuifisadi nchi maana ni mzee wa visasi. Pia Six hamna kitu maana hajiamini,alivyopigwa bit na mafisadi kuwa akirudia kuwaruhusu wapinzani bungeni kuongea kwa kuwapa nafasi watamshughulikia,hakika alikomea palepale hivyo hafai maana ana nidhamu ya uoga.
 
Atakuwa kiongozi wa upinzani kuanzia 2015
hafai kabisa . Njaa zake anaropoka ovyo. Wakati akiwa Spika aliunda tume ya Richmond ambayo iliongozwa na Mwakyembe iliyomgoa Lowasa. Tume hiyo imetuacha watanzania hoi kimaisha na kiuchumi kwa kuwa tumelipa mabilioni kwa kuvunja mkataba.Ajabu mtambo huo uliendelea kukaa nchini badala ya kuurudisha ulikotoka na sasa mmarekani ameununua na anazalisha umeme na kuuza Tanesco kwa bei ya juu sana.Kutokana na takwimu kwa bei ambayo Tanesco anauziwa kama nayo ingeamua iwauzie WTZ kwa bei ya biashara hakuna mtanzania angelinunua nishati hiyo. Hawa wanasiasa wanatuumiza sana ,wana siasa za kukomoana wakati wanaumiza watanzania. Uroho ni dhambi kubwa na marumbano ya kukashifiana ndo kunaleta migogoro , kwa ujumla viongozi waliomo madarakani sio wasafi na vigeugeu bila kuwa na maamuzi yenye tija. Sita umezeeka na akili zimekuwa mgando wapishe jeshi la BRN lifanye kazi.:angry:
 
Alijikita kama mzee wa viwango. Wana upinzani na chama tawala wakamuunga mkono ili apate kuwapa watanzania katika waliyoitaka. hii nafasi ingenmnyanyua na kuifanya nyota yake ing’are zaidi kuelekea 2015. Samuel Sitta amegeuka kuwa gamba kamili. Watanzania wanamuona Sitta kuwa mbinafsi na siye mzalendo na mtetezi wao

Anawasaliti watanzania kwa kupindisha kanuni makusudi ili CCM ipitishe hoja zake. Napenda tu kumfahamisha Waziri Samwel Sitta kwamba, ndoto yake ya urais imefika kikomo kwenye bunge la katika kinyume na matarajio yake. Edward Lowassa anaonekana kuutwaa uteuzi wa Chama tawala kuwania urais
 
  • Thanks
Reactions: MTK

nakuunga mkono ,huo ndo ukweli Sitta kajimaliza bora asingegombea hiyo nafasi
 
Alijikita kama mzee wa viwango. Wana upinzani na chama tawala wakamuunga mkono ili apate kuwapa watanzania katika waliyoitaka. hii nafasi ingenmnyanyua na kuifanya nyota yake ing’are zaidi kuelekea 2015. Samuel Sitta amegeuka kuwa gamba kamili. Watanzania wanamuona Sitta kuwa mbinafsi na siye mzalendo na mtetezi wao

Anawasaliti watanzania kwa kupindisha kanuni makusudi ili CCM ipitishe hoja zake. Napenda tu kumfahamisha Waziri Samwel Sitta kwamba, ndoto yake ya urais imefika kikomo kwenye bunge la katika kinyume na matarajio yake. Edward Lowassa anaonekana kuutwaa uteuzi wa Chama tawala kuwania urais

Mbaya zaidi hamjui vizuri JK! Atatumika vizuri kipindi hii ilikuwa vusha Magamba wenzake lakini bila kujijua wenzake wanamcheke nyuma ya Pazia.

Siku ya Uteuzi wa Mgombea wa Uraisi kupitia CCM ndiyo atakuja kujua kama ni wenzake au lah! Mbaya zaidi hata Kambi ya Upinzani iliyokuwa inamwamini kama mpiganaji wa Masilahi ya Umma imemfahamu vizuri kuwa Siita ni mwanasiasa wa wa aina gani kwa sasa.
 
Chezea CCM wewe, mi taa nyekundu ilishawaka mapema. Pale ambapo Chenge anajiweka pembeni kugombea uenyekiti kiulaini, ndipo pale nilipojua kuwa kuna mtu anataka kutolewa kafara naye ni mzee wa kanisa Samuel 6.

Nimemuita mzee wa kanisa kwa sababu wakati nipo chuo kuna siku alikuja mabibo hostel kukata power (yaani kuhubiri neno la Mungu) vema kabisa. Ilikua ni kipindi cha dini ambacho hufanyika pale block C kwa wale wenyeji.

Pole sana mzee 6, nafikiri sasa kwenye ule mchuano wa urais ndani ya chama chenu amebaki Lowassa na Membe.
 
Nyambaffffffffff.
Hizo ni ndoto zenu wajinga msiojitambua!
Lowassa ni marehemu mtarajiwa na kisiasa tumeshamzika.
Raisi wako ajaye ni BENARD MEMBE na waziri mkuu ni SAMWEL SITA. If you don't like it!!!!!
Start parking your bags
 
Yeye alidhani Chenge kumuachia nafasi ya Uenyekiti haikuwa na madhara yoyote? Watu wanakaa kuchora plan, ukiingia kichwa kichwa unajimaliza. Usishangae maswali mengine magumu yanatoka kwenye vinywa vya UKAWA kumbe yamepenyezwa kutoka kambi ya EL. Mtu mzima jana ameahirisha vikao mwenyewe asubuhi na jioni, jasho hadi kwenye maeneo!
 
Alijikita kama mzee wa viwango. Wana upinzani na chama tawala wakamuunga mkono ili apate kuwapa watanzania katika waliyoitaka. hii nafasi ingenmnyanyua na kuifanya nyota yake ing’are zaidi kuelekea 2015. Samuel Sitta amegeuka kuwa gamba kamili. Watanzania wanamuona Sitta kuwa mbinafsi na siye mzalendo na mtetezi wao

Anawasaliti watanzania kwa kupindisha kanuni makusudi ili CCM ipitishe hoja zake. Napenda tu kumfahamisha Waziri Samwel Sitta kwamba, ndoto yake ya urais imefika kikomo kwenye bunge la katika kinyume na matarajio yake. Edward Lowassa anaonekana kuutwaa uteuzi wa Chama tawala kuwania urais

Huna hoja ww! Akili yako itakuwa na utandu.
 
Mkuu sitta alikuambia kuwa anataka kugombea urais au ndiyo visabengo?
 
Mbaya zaidi hamjui vizuri JK! Atatumika vizuri kipindi hii ilikuwa vusha Magamba wenzake lakini bila kujijua wenzake wanamcheke nyuma ya Pazia.

Siku ya Uteuzi wa Mgombea wa Uraisi kupitia CCM ndiyo atakuja kujua kama ni wenzake au lah! Mbaya zaidi hata Kambi ya Upinzani iliyokuwa inamwamini kama mpiganaji wa Masilahi ya Umma imemfahamu vizuri kuwa Siita ni mwanasiasa wa wa aina gani kwa sasa.

Hapo kweli atatambua kilichomng'oa chura 'Sitta' masiko! Maana kama ktk ile mizengwe ya kumuengua ktk Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano walimweleza kuwa 'ni zamu ya jinsia ya kike' na endapo angeweza 'jigeuza jinsi' na kuingia na gauni angeukwaa uspika!!, ....wallah hapo mbeleni ktk kuutaka urais watamwambia...'ni zamu ya 'vichwa visivyo na chembe ya unyele weusi...au zamu ya mwenye jinsia mbili - me+ke (sijui kama same logic be applied to his opponents!)...!
Ila kwa Sitta....hapo ndio mwisho wake! Ameshakunya anapolala...! itabakia tu kuwa, alivyojichomeka na CCJ ya akina Nepi, atachomoka na hicho chama kipya cha akina Mwi-'gamba'..sijui kinaitwaje tena...??
 
Yeye alidhani Chenge kumuachia nafasi ya Uenyekiti haikuwa na madhara yoyote? Watu wanakaa kuchora plan, ukiingia kichwa kichwa unajimaliza. Usishangae maswali mengine magumu yanatoka kwenye vinywa vya UKAWA kumbe yamepenyezwa kutoka kambi ya EL. Mtu mzima jana ameahirisha vikao mwenyewe asubuhi na jioni, jasho hadi kwenye maeneo!
Cheki unavyoongea ubwabwa huna hoja unarukaruka tu kama mtu aliyepungukiwa kitu kwenye akili zake.
 
Sitta ameingia kiulaini kwenye mtego wa Panya...na hatoki ng'o. Mamvi na wenzake huko waliko kwikwikwi!!
 
Back
Top Bottom