Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,717
- 11,331
Sitta kajipoteza kiulaini Kama kweli una nia na Urais naona hesabu zake zimeenda vibaya.Naanza kuamini kuwa EL kajipanga.Membe anategemea kubebwa.Wait and see
Nyambaffffffffff.
Hizo ni ndoto zenu wajinga msiojitambua!
Lowassa ni marehemu mtarajiwa na kisiasa tumeshamzika.
Raisi wako ajaye ni BENARD MEMBE na waziri mkuu ni SAMWEL SITA. If you don't like it!!!!!
Start parking your bags
ndio viwango na spidi alivyosema au hamkuelewa
then start packing your bagskwa hili likitokea nahamia nchi jirani kukwepa aibu hii
Katika hali ya msuguano unaoendelea chini kwa chini ndani ya chama chakavu ccm, mbinu iliyotumika kumuengua mzee sita kugombea uspika kutumika. kua mgombea urais awamu ya 5 awe mwanamke, je membe, wasira, january, lowasa na sita watasubiri nafasi za kuteuliwa au watakuja kupitia ccj? et migiro ndo anatajwa, eee Mungu wapige na upofu wa kufanya maamuzi hayo ili kurahisisha chama teule toka mbinguni kushika dola.
Hadi raha!! haya majambazi yatahangaika, yatoroga, yatajambajamba sana lakini 2015 ni mwaka wa UKOMBOZI mwaka Bwana alioutangaza wa ukombozi kwa WATZ!! UKAWA mbele kwa mbele!!Katika hali ya msuguano unaoendelea chini kwa chini ndani ya chama chakavu ccm, mbinu iliyotumika kumuengua mzee sita kugombea uspika kutumika. kua mgombea urais awamu ya 5 awe mwanamke, je membe, wasira, january, lowasa na sita watasubiri nafasi za kuteuliwa au watakuja kupitia ccj? et migiro ndo anatajwa, eee Mungu wapige na upofu wa kufanya maamuzi hayo ili kurahisisha chama teule toka mbinguni kushika dola.