The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Nachowapenda ccm wakitekenywa tu wanachekaaaaa
,.........na wakicheka tu unatambua Mara moja walikojificha!!
Nachowapenda ccm wakitekenywa tu wanachekaaaaa
,.........na wakicheka tu unatambua Mara moja walikojificha!!
jaribu kuruhusu akili yako ya juu kabisa kutawala maamuz yako... hasa ya msingi katika maisha yako na kizaz chako kijachoEdward Lowasa awajibishwe, huyu ndo aliyehusika kwa kutoa maelekezo ya hayo mabehewa kukuu kununuliwa! Fisadi sana! Wala msimpe kura mpuuzeni!
Hebu Sitta aache kutufanya Watanzania wote majuha. Hivi Mkurugenzi Mtendaji pekee na management team yake (kwenye shirika ambalo ni la umma lenye Waziri mwenye dhamana? pamoja na bodi yake ya Wakurugenzi?) ati ana ubavu wa kuidhinisha ununuzi wa mabehema yenye thamani ya TZ shs. 220 billion bila idhini ya Waziri wake? bodi yake?... Halafu bila ya kupitia na kushindanishwa bodi ya manunuzi?
Common Sitta!..talk to us with your sense!
Ni vema ukaweka wazi utaratibu mzima wa manunuzi katika wizara za serikali, hii itatusaidia kujua hasa mzigo huu ni wa nani na kwa namna gani anastahili kujibu tuhuma hizi, ila kwa kutoa maelezo ya ujumla tu bado kila mtu atanyoosha kidole moja kwa moja kwa waziri ilihali inafahamika kuwa waziri sio mtaalamu wa kutambua uzima au ubovu wa mabehewa.
Sitta anastahili kuwa waziri mkuu...karibuni Tanzania Mpya!
Je Yeye kama wazili alikuwa hajui mpango wa manunuzi hayo? Bila shaka Alijua na ndo mwenye dhamana na Alitia sahihi kubaliki manunuzi yafanyoke na pesa ikwPuliwe .Haoni kama ana hatia ya kujiwajibisha yeye MWe yewe kwa maana bilioni miambili na zaidi zimetumika visivyo?
Mwakyembe awajibishwe kisiasa ktk ufisadi wa TRL kama alivyowajibishwa Lowassa katika sakata la Richmond,tuache double standard ili tuthibitishe utawala wa sheria unatekelezwa.
Hivi rais huwa haambiwi au kupewa taarifa ya manunuzi makubwa hivi? au mambo yanayohusu maendeleo ya nchi kama ununuzi wa mabehewa rais huwa hajui? Kama anapewa taarifa huyo aliyeenda kumpa taarifa ya ununuzi si anaenda kumwambia kuwa yameshanunuliwa? Kama alipewa taarifa kuwa yamenunuliwa lakini ni chakavu huyo aliyempa hiyo taarifa ndo wa kuanza nae, weka ndani halafu uchunguzi ndo uanze.Tatizo la kukimbia hesabu,tunazungumzia bilion 220 anatuambia watu sita wa TRL wakati hilo swala ni pana sana,B.OT,Waziri husika,katibu wa wizara,bodi ya wizara..