The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,745
- 18,494
Mabangusilo hao ...... Sutta kama anapenda midahalo aitishe pia midahalo wa CDM!!!!
Hebu Sitta aache kutufanya Watanzania wote majuha. Hivi Mkurugenzi Mtendaji pekee na management team yake (kwenye shirika ambalo ni la umma lenye Waziri mwenye dhamana? pamoja na bodi yake ya Wakurugenzi?) ati ana ubavu wa kuidhinisha ununuzi wa mabehema yenye thamani ya TZ shs. 220 billion bila idhini ya Waziri wake? bodi yake?... Halafu bila ya kupitia na kushindanishwa bodi ya manunuzi?
Common Sitta!..talk to us with your sense!
Hivi sitta agombea nn?
Wachagga wanataka matatizo ya watanzania yaendelee kuwepo ili wayatumie kama mtaji wa kisiasa hata kikifanyika kitu ilimradi hajafanya mangi wanabeza...
Ikiwa hakuna malalamiko maana yake hali ni shwari..sioni kama kuna ubaya ushughulikiaji ukianza baada ya malalamiko. Ila hoja ni kwamba kwanini uchunguzi wa sifa za mzabuni aliyepitashwa haukufanywa mara moja baada ya kumpitisha? Na kwa nini malipo yote yaidhinishwe kabla ya bidhaa kufika? Mkurugenzi wa manunuzi, mhasibu wa shirika na team yao wanapashwa kuwajibishwa then waziri mwenye dhamana akishindwa kuokoa hasara iliyosababishwa na watendaji wake ndio awajibike.Hadi hizo fedha zote zinapotea chanzo kilikuwa ni nini?
Naamini kuna mianya ya kimfumo inayotoa nafasi ya watu kutafuna fedha...
Hadi watu na wabunge wapige kelele ndio waanze kujifanya wanashughulikiana...