Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

Si kazi yangu kukuaminisha. Kama unaona ni uongo si unaendelea mbele na safari yako Bob. Kwani unalazimishwa? Na wala haihitaji waumini kusema ukiamini nitapata sadaka.

story ya uongo hii...! hakuna gari ya kutoka dar 12 asbh ikafika Mbeya 7 mchana..! Hata barabara ingekuwa tambarare ni imenyooka straight na unapita mwenyewe barabarani..!

Hakuna kitu kama hicho
 
Sasa yuke jamaa yetu aliingia saa saba wakamweka ndani kwanza ...atulize akili....waliona amepitiliza kupiga mpini.


Yeah maisha yalikua zamani bhn
Nilipanda hood kutoka dar kuingia mbeya

Bhn bhn asikuambie mtu ile ilikua ni mwendo wa roho mkononi, yan dereva alipiga gia adi tunaliona bus jepesi (bangi ipigwe marufuku)

Maana zile gia sikuamini kama naingia mbeya saa 9 na tunafika tu bus likapata faini ya laki 5



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Matema Beach wala Safina iliyoingia Mbeya SAA saba, ni Scania 113 TZH 710 ikiendeshwa na Giriki na kondakta wake alikuwa Ally Bonge.
Nilikuwa ndani ya hiyo gari kuanzia inaanza safari Mnazi Mmoja hadi Mbeya. Na Mimi nilikuwa ni mdau Mkubwa sana wa mabasi enzi hizo Ofisi yangu ukiwa jirani na Ofisi ya mabasi ya Embakassy.
Nakumbuka mi nilikuwa nashikia chimala pale, siku hiyo darajani kulikuwa na ng'ombe wanavuka taratibuuu huku dogo ambaye anawaswaga hana haraka nae. Nyuma ya like Kundi kulikuwa na Dume moja LA haja. Ambalo kwa maelezo ya dogo huwa halipigwi. Sasa matema bus ndo imeivaaaaaa inakuja. Aka kwepa Kundi LA kwanza LA pili na like dume likawa sasa limesimama katikati ya daraja.
Watu wakajua sasa abiria kazi wanayo. Basi Dereva alupolifikia akafunga breki bus lika chuna kwa kelele alafu akapinda kulia na kuliweka sawa akanyoosha.
Akawaachia watu gumzo LA siku. Sasa siku anarudi kesho yake wananchi wakamsimamisha Mwenye ndizi akampa Mwenye papai ili mradi kila Mwenye kuguswa alitoa chochote kitu kama ishara ya kumkubali Dereva.
Ndo Jamaa mmoja akasema kuwa siku Moja lilitoka dar na kufika mbeya na kuchukua mashabiki wa mpira ambao waliwahi mechi. So madereva wa enzi hizo! Ni mungu tu alikuwa anawanusuru.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob zile gari sijui hata nisemeje....ukiuliza wafanya biashara wa mbeya miaka hiyo watakwambia.walikuwa wanakuja dar.wanafanya shopping kesho wanarudi mbeya.mpini ulikuwa unapigwa kinyama.

Sema mkuu buji hata kwa hesabu ya haraka tu ukiwa na private kuingia mbeya kwa muda huo still bado itakubana sana.....sasa basi lina

1. Mizani karibu 4 kwa wakati hule
2. Kuingia stand sio chini ya 3 au 4
3. Check points
4. Kusimamishwa na trafiki
5. Kuingia hotelini (komfoti kitonga)
6. Overtaking ya bus tunaijua sio sawa na brevis
7. Dar to mbeya (813km) tukumbuke

Kwa hesabu za haraka haraka hiyo bus ikipigwa top speed ya 120 atazimaliza hizo kilometers 813 kwa masaa 6 na nusu hadi sana hapo hajasimama popote wala kutoa mguu kwenye accelerator kwa speed ya 120kph.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikua wote mkuu siku hiyo siisahau. Jamii Forums kiboko daaaah
Sio Matema Beach wala Safina iliyoingia Mbeya SAA saba, ni Scania 113 TZH 710 ikiendeshwa na Giriki na kondakta wake alikuwa Ally Bonge.
Nilikuwa ndani ya hiyo gari kuanzia inaanza safari Mnazi Mmoja hadi Mbeya. Na Mimi nilikuwa ni mdau Mkubwa sana wa mabasi enzi hizo Ofisi yangu ukiwa jirani na Ofisi ya mabasi ya Embakassy.

get well soon tl
 
Kwa msioelewa mabasi yale yalikuwa na injini na chesisi ya malori ya zaidi ya tani kumi na tano, mzigo yaliyokuwa yakibeba hauzidi tani kumi hivyo yaliweza kuovateki kupandisha Kitonga bila shida; Kwa wale wliozoea kusafiri njia hiyo wanajua ukichelewa dakika tano usisumbuke kukodi teksi, hautalikuta ng'o.
nakubishia zile zilikua injini ya basi kabisa injini za malori wameanza kutumia mwaka 2000 ujue ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Matema Beach wala Safina iliyoingia Mbeya SAA saba, ni Scania 113 TZH 710 ikiendeshwa na Giriki na kondakta wake alikuwa Ally Bonge.
Nilikuwa ndani ya hiyo gari kuanzia inaanza safari Mnazi Mmoja hadi Mbeya. Na Mimi nilikuwa ni mdau Mkubwa sana wa mabasi enzi hizo Ofisi yangu ukiwa jirani na Ofisi ya mabasi ya Embakassy.
Samahani, yule Dereva ambae alikuwa havai viatu na alikuwa anapenda kukaa upande kwa maana ya kukinga dirisha na mgongo kidogo ndo giriki? Baadae akawa anaenda songea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom