Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza.
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti. Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi, mwingine kilimahewa, na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.
Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka
Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa.
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.
Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu, hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika.
Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui.
Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005