Sitosahau nilivyokutana na Jini usiku

Sitosahau nilivyokutana na Jini usiku

Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza,
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti.
Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi,mwingine kilimahewa,na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.

Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka

Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.

Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu,hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na
Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza,
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti.
Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi,mwingine kilimahewa,na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.

Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka

Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.

Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu,hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika

Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui

Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005
Malaria ikipanda kichwani wahi kumuona daktari.
Malaria ikipanda kichwani wahi kumuona daktari
 
Back
Top Bottom