Sitosahau nilivyokutana na Jini usiku

karue

Senior Member
Oct 31, 2018
191
347
Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza.

Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti. Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi, mwingine kilimahewa, na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.

Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka

Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa.

Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.

Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu, hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika.

Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui.

Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005
 
Sahau tu nafanya uende mwanza kutembea liliamua tu kukutisha na kucheza na ww ulikuwa hauko kwenye mood ya kucheza nalo sahau yaliyopita panga yajayo.
 
983cf0743b830e5535d5fddd1b0b2ee5.jpg
 
Katatizo kadooogo ukaona uhame na mkoa... BURE KABISA

Tulioishi Tanga huko korogwe vijijini Mashewa, magoma n.k utatuambia nini
 
Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza,
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti.
Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi,mwingine kilimahewa,na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.

Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka

Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.

Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu,hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika

Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui

Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005
Ungesema nae tu. Umuulize hali yake.
Hawanaga neno hao.
 
Kila aliyekutana na jini, lazima liwe limevaa nguo nyeupe. Hizo ndio sare zao?
 
Ukikutana na belezebul chief wa majini huyu jamaa yupo poa sana unaweza kumuomba kitui akakusaidia ila ww inaonekana ulikutana majini wadogo hao ungekutana na nae Belzebul ungemuambia ufaulu upate one ya saba form 4 au one ya tatu for 6 au kuwa Tanzania one au hata kuwa waziri mkuu au kuwa mfanya biashara Tajiri angekusaidia ila hao majini wengine njaa sana 😁😁😁
 
Back
Top Bottom